Dah! ndo ushamzika tayariMmmh! R.I.P !!
jamani mimi ni mwanaume naombeni msaada wenu wa mawazo kuhusu tatizo hili lililonitokea.nimetokewa na vipele vingi vidogovidogo(vinawasha kiasi) sehemu za siri(sehemu ya mavuzi.samahani kwa kukosa tafsida yake).naamini mtanisaidia
peleka jfdoctor...huku ushauri wa lara1 utaishia kujiua tu...
Hebu acha ujinga wewe. Kama kweli unasumbuliwa na hilo tatizo kwa nini usiende hospitali?
Au suala la kwenda hospitali nalo ni lazima ushauriwe? Get a grip!