elmagnifico
JF-Expert Member
- Jul 7, 2011
- 8,260
- 9,743
Kuna mpenzi wangu ambaye nampenda sana ambaye nina km mwaka1 hivi nipo nae anatabia poa tu lakini hivi karibuni kama 3week nikimpigia simu kama sa 5-6 nambiwa inatumika.
Then nikipiga zaid inakuwa haipatikani nikawa mpole kusuluisha yakaisha sasa tangu hapo anipigii simu hadi nimpigie, anitumii text had nimtumie.
Nahitaji ushari wenu nimfanye nini, nitumie njia gani naitaj furaha katika pendo langu.
Get ready for a broken heart.....