naombeni ushauri

naombeni ushauri

mwenzio ka move on
sasa wew unasumbuliwa either na udomozege wakutafuta mwingine au hujiamini name maisha yako mpaka inapelekea kukwama name past life yako
..hata wauza unga..walianza name bange ...waka evolve..its nature
don't stuck in one life
 
We miaka miwili yote
ulitegemea akusubiri wakati hamna mawasiliano huyo yuko na mtu
mwingine,na unataka kurudiana naye kakuambia yuko single? je wewe kwa
miaka hiyo uko single au unataka mechi ya marudiano?
jaman kwani kashafafanua ni urafiki gani?
 
Mmmh ni urafiki tu, au kuna la ziada?
yani mtu tu anakupotezea unaumia Roho, na bado unatafuta namna ya kujiweka kwake?
hivi haya mahaba ya hivi wenzangu mnayatoa wapi?
ni urafiki2! mahaba haya nimeyatoa kwa Mungu 7bu Mungu Ni Pendo
 
ila mdau ckia nikwambie akati mwingine ucpende kulazmisha vi2 kama hataki jua hakujali so find another huwez jua Mungu kakuepushia nini uckute rafiki mkia wa fisi....ohoo utafilisika ama rafiki mnafki je?
 
mwenzio ka move on
sasa wew unasumbuliwa either na udomozege wakutafuta mwingine au hujiamini name maisha yako mpaka inapelekea kukwama name past life yako
..hata wauza unga..walianza name bange ...waka evolve..its nature
don't stuck in one life

Dia! she was just a friend! in short ni msichana kama mm
 
sema duh!kuna wa2 wanawaza mapenzi,mapenzi loh!hata m2 hujasoma vizuri unaanza 2 miaka yote akusubiri eeh!
 
sema duh!kuna wa2 wanawaza mapenzi,mapenzi loh!hata m2 hujasoma vizuri unaanza 2 miaka yote akusubiri eeh!
Utoaji wa taarifa ndo unamatatizo kwanza hajasema yeye jinsia gani na huyo rafiki yake ni wa jinsia gani so mnawapa watu kazi ya kuwaza kila mtu anavyofikiria na ukichukulia kesi za hapa ni za mtindo huo huo
 
kama ni rafiki wa kawaida.
labda hakuwa vzuri siku hiyo.
au aliona labda utampiga mzinga {hela} kutokana na tabia zako hapo awali
 
Urafiki haubembelezwi

Sent from my Nokia Lumia using Tapatalk
 
kama ni rafiki wa kawaida.
labda hakuwa vzuri siku hiyo.
au aliona labda utampiga mzinga {hela} kutokana na tabia zako hapo awali

hahahahaha duuuu ckua namuomba hela jaman
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom