Naombeni Ushauri

Naombeni Ushauri

MotoYaMbongo

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2008
Posts
2,146
Reaction score
887
Jamani, Mimi ni Mwl wa Level ya Degree, nina diploma ya Elimu pia kwani nilijiendeleza baada ya kumaliza diploma ya Ualimu, Kwa sasa nina Digrii ya Ualimu katika Elimu ya Awali, Kwa kweli huku Sekondari nilipo kwa sasa naona Elimu yangu ya Awali siitumii kabisa yani inakufa bure, Nishaurini jamani nifanyeje?
 
Samahani kaka hivi mtu ukipata division 2 nanimebalance comb zote nimepelekwa chuo uwalim elimu ya awali diploma hivi ajira zipo kwa kozi hii alafu je inalipa au nibaki mtaani tu
 
Baki mtaani tu Fanya inshu zingine mkuu usipoteze muda na pesa zako/za wazazi wako
 
Back
Top Bottom