Naombeni ushauri!

Bhavick

JF-Expert Member
Sep 21, 2011
314
57
Baada ya kutendwa zaidi ya mara 3,na hawa mabinti wa Mama Salma,
Sasa nimeamua kuwa peke yangu mpaka kifo kinichukue.JE KUNA MADHARA NTAYAPATA?
 
hautaweza labda uvae kufuri la chuma,kwa sasa moyo bado una majeraha ndo maana unapata nguvu za kutamka hayo lakini later utawatafuta mwenyewe yaani gf watatu unakata tamaa wakati watu wanatendwa zaidi ya mara5 na wengine wake/waume kwenye ndoa wanatendwa.Khaaaa
 
Wala huwezi pata madhara yoyote,kwani maisha yote kabla hujakutana na hao watoto wa mama Salma si ulifanikiwa kuishi bila yao?Kwani ulipata madhara yoyote kwa kuwakosa?Basi kwa nini leo hii ushindwe?Cha msingi ni kuset mind yako kuwa hutaki na usitake kweli sio tena uanze kushinda kwenye uwanja wa fisi kutafuta vipozeo.La msingi kama unaweza kujizuia na umeamua kweli kuwa pekee yako unaweza na wala hutopata madhara yoyote.i hope nimeeleweka.
 
Siku hizi mna mbinu nyingi kuingiza bidhaa sokoni dah! eti nimetendwa:becky:
 
pole sana anakuja ambae hatakutenda ila wewe utamtenda.
 
Wala huwezi pata madhara yoyote,kwani maisha yote kabla hujakutana na hao watoto wa mama Salma si ulifanikiwa kuishi bila yao?Kwani ulipata madhara yoyote kwa kuwakosa?Basi kwa nini leo hii ushindwe?Cha msingi ni kuset mind yako kuwa hutaki na usitake kweli sio tena uanze kushinda kwenye uwanja wa fisi kutafuta vipozeo.La msingi kama unaweza kujizuia na umeamua kweli kuwa pekee yako unaweza na wala hutopata madhara yoyote.i hope nimeeleweka.
aha! ha! haaaaaaa!!!!!!! mkuu umenikumbusha mbali saana.kuna jank alikuwa anajifanya mgumu saana chuoni,ikaja kubainika kuwa kumbe nyakati za usiku ananyata uwanja wa mafisi kuokota mizoga. aha haaa!
 
Hayo yapo mengi sana tu mkuu.Mtu anajifanya haingiliki kumbe ana mbinu zake mbadala za kajificheni.
 
i wish ingekuwa rahisi km unavyofikiria km kuacha kuwa na uhusiano ingekuwa rahisi usingerudia kutafuta wapili na watatu after kutendwa na wakwanza so hayo ni machungu tu yataisha ukipata wa nne cha msingi jiulize kwanini unatendwa usikute unakasoro zako ambazo wanashindwa kukuvumilia.
 
Baada ya kutendwa zaidi ya mara 3,na hawa mabinti wa Mama Salma,
Sasa nimeamua kuwa peke yangu mpaka kifo kinichukue.JE KUNA MADHARA NTAYAPATA?

Kama una miaka kuanzia 45 hivi na zaidi probably unaweza kufanikiwa, chini ya hapo nakushauri tulia nikimaanisha jipe muda, na muombe Mungu akupe kifaa ambacho hakitakutenda baadaye. Kukaa bila mahusiano si jambo rahisi, labda uamue kuishi maisha ya kudonoa hapa na pale ambayo mwishowe yatakutanguliza mbele za haki kabla ya muda wako!
 
Baada ya kutendwa zaidi ya mara 3,na hawa mabinti wa Mama Salma,
Sasa nimeamua kuwa peke yangu mpaka kifo kinichukue.JE KUNA MADHARA NTAYAPATA?

pole mwenzetu.
Jiulize kwa nini walikutenda? Au nenda kawaulize umewafanya nini mpaka wakakutenda?
Pengine nawe ulitenda ndio ukatendwa. jirekebishe tabia kwanza mwenzangu.
 
Baada ya kutendwa zaidi ya mara 3,na hawa mabinti wa Mama Salma,
Sasa nimeamua kuwa peke yangu mpaka kifo kinichukue.JE KUNA MADHARA NTAYAPATA?

ukiweza kugangamara kama unavyodai kwa miaka miwili, nitafute nikupe zawadi...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom