Naombeni ushauri

Hapa nilipo naishi ugenini , ila nina kijigari changu ila mtoto wadada anakitumia , kikatili mno ila kiukweli mimi naumua mno .

Na kiukweli nimehama jimbo tu , nipunguze gharama za maisha.
Kile ni kigari au mkangafu? Tafuta pesa mangi, kulia lia hakukusaidii
 
Hapa nilipo naishi ugenini , ila nina kijigari changu ila mtoto wadada anakitumia , kikatili mno ila kiukweli mimi naumua mno .

Na kiukweli nimehama jimbo tu , nipunguze gharama za maisha.

Bro wangu.
Wakati Huyo mpwa wako anatumia hiyo gar yako. Ww unakuwa wap?.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…