Nunua neti zile za kuchomeka chini ya godoro akija kalewa akafanya fujo usimjibu akipanda kitandani make sure unachomeka neti vzuri kabisa.Naishi na mwanaume, ila sasa shida ni pombe na akisha kunywa ni anagombana na kila mtu...
Zaidi sana ni mtu wa hasira mnoo
Ugomvi usio na kichwa wala miguu...
Ukikaa kimya una kiburi ukisema umjibu ndo moto unawaka zaidi, kilicho nichosha zaidi ni tabia yake ya kumwaga chakula pindi akikasirika..
Nimevumilia sana ila sasa nimefika mwisho naona niondoke tu maana unyanyasaji na ubaguzi vimezidi tuna watoto wawili hatuna ndoa wenye busara karibuni maana kisaikolojia sipo sawa nimeathirika mnoo
ππ hii mbinu nimeikubali sanaOngea na mtu wa mortuary mpange vilivyo mnamuandalia siku unaenda naye bar mumeo hakikisha anakunywa hadi anakata network kisha unambeba unampeleka mortuary mnamlaza kwenye maiti inayotisha, pombe zikimuisha kichwani akiamka ajikute hapo nakuhakikishia hatokunywa tena pombe katika maisha yake yote.
Mhakikishieni kwamba mlimpeleka mortuary baada ya yeye kuzidisha pombe kiasi cha kufariki na kuweni serious katika hilo. Mbinu hii ikifeli huna namna nyingine zaidi ya kunusuru maisha yako kwa kukaa mbali naye
hii mbinu nimeikubali sana
Anazira hadi Anamwaga chakula??Naishi na mwanaume, ila sasa shida ni pombe na akisha kunywa ni anagombana na kila mtu...
Zaidi sana ni mtu wa hasira mnoo
Ugomvi usio na kichwa wala miguu...
Ukikaa kimya una kiburi ukisema umjibu ndo moto unawaka zaidi, kilicho nichosha zaidi ni tabia yake ya kumwaga chakula pindi akikasirika..
Nimevumilia sana ila sasa nimefika mwisho naona niondoke tu maana unyanyasaji na ubaguzi vimezidi tuna watoto wawili hatuna ndoa wenye busara karibuni maana kisaikolojia sipo sawa nimeathirika mnoo
Daaah ndo umeona bora unitangaze Jamiiforums au kuwa naanzishaga ugomvi hauna kichwa wala miguu ππNaishi na mwanaume, ila sasa shida ni pombe na akisha kunywa ni anagombana na kila mtu...
Zaidi sana ni mtu wa hasira mnoo
Ugomvi usio na kichwa wala miguu...
Ukikaa kimya una kiburi ukisema umjibu ndo moto unawaka zaidi, kilicho nichosha zaidi ni tabia yake ya kumwaga chakula pindi akikasirika..
Nimevumilia sana ila sasa nimefika mwisho naona niondoke tu maana unyanyasaji na ubaguzi vimezidi tuna watoto wawili hatuna ndoa wenye busara karibuni maana kisaikolojia sipo sawa nimeathirika mnoo
Je wazazi wake / Ndugu zake wanatambua hizo changamoto unazozipitia?Nimevumilia sana ila sasa nimefika mwisho naona niondoke tu maana unyanyasaji na ubaguzi vimezidi tuna watoto wawili hatuna ndoa wenye busara karibuni maana kisaikolojia sipo sawa nimeathirika mnoo