Wakuu, hali yangu ya kiuchumi sio kwamba ni mbaya, HAPANA! nipo vizuri tuu napata ninachokitaka ila sasa kuna mtihani umenijia!
Kuna mama mmoja hivi mmiliki wa mabus ya mkoani, pia ana hotel zake, umri wake ni miaka 49 ananitaka kimapenzi.
Ananiweka kwenye wakati mgumu sana kwani ameniahidi kuwa msimamizi wa mabus yeye abaki na kusimamia hotel zake kwani yuko busy sana na mme wake alishafariki.
Mbaya zaidi kuna tetesi nilizisikia kua ameungua (ana Ukimwi).
Nashindwa nifanyaje, nilimgusia kuhusu tukapime Kwanza akaniambia nisijali yupo vizuri kiafya mimi nimkubalie tuu mengine yatafuata.
Nifanyaje? Nijilipue au nitilie maanani hizi tetesi?
Sent using
Jamii Forums mobile app
[/QUOT
vaa condom, tumia sanitizer mgegede piga hela