GAZETI
JF-Expert Member
- Feb 24, 2011
- 5,277
- 6,673
Habarini wana JF,
Siku za nyuma niliwahi kufanya biashara ya kisamvu. Kilikuwa kinatwangwa
vizuri na kuchanganywa na kitunguu saumu na chumvi kidogo ili kukitunza
kisiharibike.
Vipi biashara hii kama nitaileta hapa DAR nitapata wateja? Pia naomba kujua
nifanye nini ili kuiboresha zaidi!
Wazo langu
Nafikiria kupata mifuko maalum ambayo nitaiwekea nembo kabla ya kukiingiza
kisamvu sokoni hapa Dar na Mwanza.
NAOMBENI USHAURI WAKUU.