Naombeni ushauri!

GAZETI

JF-Expert Member
Feb 24, 2011
5,277
6,673
Habarini wana JF,

Siku za nyuma niliwahi kufanya biashara ya kisamvu. Kilikuwa kinatwangwa
vizuri na kuchanganywa na kitunguu saumu na chumvi kidogo ili kukitunza
kisiharibike.

Vipi biashara hii kama nitaileta hapa DAR nitapata wateja? Pia naomba kujua
nifanye nini ili kuiboresha zaidi!

Wazo langu

Nafikiria kupata mifuko maalum ambayo nitaiwekea nembo kabla ya kukiingiza
kisamvu sokoni hapa Dar na Mwanza.

NAOMBENI USHAURI WAKUU.
 
Hii biashara inafanyika,
Naomba utembelee super market za wazawa zilizopo Dsm, sikumbuki ni ipi, kama sio Imalaseko,ilikuwa inapata Kisamvu toka Iringa. Niliona jinsi wanavyoandaa kisamvu, wanafanya hivi; wanachuma kisamvu shambani,wanakausha kwa jua ndani ya kibox chenye kioo ( kama vibox vya kuuzia maandazi),kikikauka wanakitwanga na kupark. Kwa hiyo utakuta kisamvu hakipotezi chlorophil. Nikikumbuka wale wamama wanakaa wapi pale Iringa nitakwambia ili wakupe abc za biashara hiyo.
 
daah mkuu itabidi ukianza leta dar uni PM niwe mteja wako ila ntaanza na kukopa...................huh
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom