Fibanochi
JF-Expert Member
- Jun 28, 2018
- 476
- 1,024
Yani rahisi mnoo, kwa wanaume kujamba mbele ya mwanamke aliemzoea klk kumuomba pesa.
sasa si ushukuru kachukua elfu 5 tu..what if angekomba zote?
nahisi jamaa kakosa hata nauli,na baadhi yetu sisi wanaume tunaona noma kuomba wanawake pesa.