Naombeni ushauri

Truly

JF-Expert Member
Jan 27, 2011
228
32
Wana JF naombeni ushauri wenu. Sijawahi kumiliki gari naona sasa muda muafaka umefika. My dream car ni swift, wakati ninapanga kukamilisha ndoto yangu nishaurini. Sina uelewa wa magari na hili ninalowaza kulinunua nitaagiza mwezi wa tano. Wakati huu najazia jazia kibaba nishaurini isije kuwa naingia chaka.
 
Aaaah aiseee!! Kumbe unaota?Hatujakuelewa hebu nyoosha maelezo,maana na kizungu umechanganya
 
Aaaah aiseee!! Kumbe unaota?Hatujakuelewa hebu nyoosha maelezo,maana na kizungu umechanganya

Sioti ila niko katika harakati ya kutelekeza mpango huo wa kununua gari mwezi wa tano. Ndio nikasema nataka ninunue gari aina ya swift lakini wakati huo huo mimi sina uelewa wa magari na sijawahi kumiliki gari. Nikasema niombe ushauri kwa wenye uzoefu wa magari au ambao wana gari kama hilo. Consuption ya mafuta ikoje, maspea yanapatikana kirahisi etc. Nafikiri sasa nimeeleweka.
 
Tueleze unataka kwa matumizi gani? ofisini - nyumbani?, mishemishe za Dar?, kutoka nje ya dar/mkoa uliopo? au tege tu?
 
Tueleze unataka kwa matumizi gani? ofisini - nyumbani?, mishemishe za Dar?, kutoka nje ya dar/mkoa uliopo? au tege tu?

Matumizi ya ofisini-nyumbani, mishemishe za dar tu. kwa kusafiri nje ya dar nitasafiria kwenda Morogoro tu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom