kwa sababu hawataki both kuondoka,wamege wote mpaka yule atakaeona hawezi ndoa ya mitala atajiondoa mwenyewe
unajua ndio maana wanawashauri watu kuwa ukitoka kwenye uhusiano usiingie kwenye mwengine haraka...sasa wewe ndani ya miezi miwili ulishakamatia dada mwengine na ukatia mimba kabisa loh!!
sasa hapa chakufanya mwanawane nikukubali umebugi men sasa jaribu iwezekanavyo uishi na huyo dada.
halafu anacheza peku!
ila wakati mwingine raha sana kuwa na njemba kama hili.....nawahurumia sana wanawake wenye wanaume bendera fuata upepo wapo wapo tu hawana maamuzi hawajui nini wanataka kutwa kuharibu
Hapo nilibold, nawaza kipuuzi tu,.... baadae tukaja kupishana na huyu mchumba wangu akanitamkia kuwa niwe huru nimtafute tu msichana mwingine.wazazi wake wakadokezwa taflani ya mahusiano yetu wakamkalisha chini na kumwomba afikirie kabla ya kuchukua maamuzi.akasema nabaki na msimamo wangu.
ndo nataka nianze, sijui ntapata?teh teh FP inaelekea una kauzoefu nao lol