Habari ndugu wana Jf poleni na majukumu ya kila siku kuna jamaa anataka kuniuzia iphone 4 kwa sh 170,000 ila ina tatizo la kufungwa laini inatumia laini za at& je inawezekana kuifanya simu hiyo itumie laini za nyumbani na itanigharimu sh ngapi?
Thanks in advance
iphone 4 nafkiri unaweza kui unlock na gevey sim. zinauzwa around 25,000 huku bongo. ila naona ni risk na itapandisha bei hadi 200,000 wakati kwa bei hio unawEza pata unlocked