Naombeni ushauri wenu wana JM kwa Jambo ili

kwisha

JF-Expert Member
Sep 9, 2021
1,666
4,365
Mimi nikijana Nina mke na watoto 3
Baba mwenye nyumba wangu yeye na mke wake walishikwa na polisi
Uku mwalimu wa mtoto wangu naye ivo ivo akiwa anaumwa
Mke wangu aliniambia kuwa baba Mkwe wangu ( yaani baba yake na mke wangu ) naye tulikuwa naye kwenye club usiku wa Jana
Mimi nilivyo cheka tu Yule askari akafikiri nacheka dirishani kumbe sisi wote tulikuwa ndani
Nafikiria saana Jambo ili sipati majibu Naombeni msaada wa ushauri wenu
 
Subiri pombe ziishe urudie kuandika.
 
Chai vikombe viwili.
23.jpg
 
Mimi nikijana Nina mke na watoto 3
Baba mwenye nyumba wangu yeye na mke wake walishikwa na polisi
Uku mwalimu wa mtoto wangu naye ivo ivo akiwa anaumwa
Mke wangu aliniambia kuwa baba Mkwe wangu ( yaani baba yake na mke wangu ) naye tulikuwa naye kwenye club usiku wa Jana
Mimi nilivyo cheka tu Yule askari akafikiri nacheka dirishani kumbe sisi wote tulikuwa ndani
Nafikiria saana Jambo ili sipati majibu Naombeni msaada wa ushauri wenu
Laaana juu ya laana! Okoka!
 
kwisha 😅
 
Back
Top Bottom