Betterhalf
JF-Expert Member
- Dec 20, 2016
- 2,882
- 2,561
Haya ni majaribu kwa wenye kutoa ushauri.Sasa hapo unataka ushauriwe nini?
Sasa si angemwaga nje basii?? Yaani unajua kabisa kuwa tendo linaweza kusababisha mimba au ukimwi lakini unaenda tu mzima mzima, na ukitambua kabisa kuwa hapa napita tu. Akubali matokeo! Mke ndo huyo!Na kondomu hainogi
Akubali tu matokeo after all mtoto ni baraka toka kwa Mungu
Hili darasa linawahusu wanaume..anayelalamika ni mwanaume.Wanawake njooni mpate darasa hapa!
Majuto ni mjukuu. Awajibike tu, hakuna namnaUngetumia condom sasahivi usingekuwa na haya majuto.
Nakushauri ukubali matokeo tuu.
Umemshauri vyema. Ila kushindwa kumpenda mtu ni ishara ya ubinafsiKiufupi hata ujilazimishe kumpenda hali itakua ndo hiyo Hiyo. Kikubwa jitahidi kuwa baba bora kwa kiumbe kinachotarajia kuja ulimwenguni, mambo mengine huamuliwa na MUDA.
Elewa huyo alibeba hiyo mimba makusudi ili umuoe kwa hiyo jipange au kama vip mwambie ukweli atoe asitoe we kausha tu unamwambia kwetu huwa hawatoi mimba ukitoa unakufa........huwez sema eti ukikaa nae utampenda hilo sahau kama sahizi humpendi mkizoeana ndo utampenda haaah!!Nilishajaribu kumwambia lakini baada ya hapo alitaka kutoa mimba
ikabidi nimzuie kwa kumhakikishia kuwa me ndio mume wake ila nilifanya ivo ili asiitoe mimba.
Niliogopa kuwa sababu ya yeye kutoa mimba.
Binafsi huwa nakuwa muwazi since day one,huwa nasema ww ni rafiki tu,na huwa simuiti mtu mpenzi nakupenda maana najua nini maana ya mpenzi na nn maana ya nakupenda,kifupi kwenye mahusiano sipendi kuwa tapeli,maana matokeo ya utapeli ktk mapenzi huzaa migogoro na machungu ya mileleUngetumia condom sasahivi usingekuwa na haya majuto.
Nakushauri ukubali matokeo tuu.
Umesema kweli kabisa watu wengi huwa hawalitambui hilo,Binafsi huwa nakuwa muwazi since day one,huwa nasema ww ni rafiki tu,na huwa simuiti mtu mpenzi nakupenda maana najua nini maana ya mpenzi na nn maana ya nakupenda,kifupi kwenye mahusiano sipendi kuwa tapeli,maana matokeo ya utapeli ktk mapenzi huzaa migogoro na machungu ya milele
Ni kweli kabisa mydearMajuto ni mjukuu. Awajibike tu, hakuna namna
Kwamba sio tamuuu?Na kondomu hainogi
Akubali tu matokeo after all mtoto ni baraka toka kwa Mungu
Jozee hajambo?Kwamba sio tamuuu?
Ni kwanini utafute utamu kwa mtu usiyempenda?
Mtu ambaye huna malengo nae.
Matokeo ya kavukavu ni mimba. Au yeye hakulijua hilo?
Jozee mzima kabisa japo sina mawasiliano nae toka mpenzi baby wangu aliporudi, usifukue ya nyuma utanisababishia talaka ujue,Jozee hajambo?
Mie jozee ndio namtambua, hao wengine michepuko tu.Jozee mzima kabisa japo sina mawasiliano nae toka mpenzi baby wangu aliporudi, usifukue ya nyuma utanisababishia talaka ujue,
I really missing you friend, umenipa tabu sana kukutafuta ujue
Ah ah ah aaa, sitaki ugomvi ujue shauri yako,Mie jozee ndio namtambua, hao wengine michepuko tu.
Mbona nipo mamy!
Here i am sweetie.Ah ah ah aaa, sitaki ugomvi ujue shauri yako,
Hukuwepo banah mekutafuta sana vile hujui tuu