Naombeni ushauri wenu wakuu.

Naombeni ushauri wenu wakuu.

fata moyo wako kitu unataka......mapenz hayashauriki
 
Hakikisha mwanamke anakupenda ndo uoe ndoa ni tasisi nyingine kabisa ukiweka urembo kwenye ndoa utachambia mawe.

Huyo binti ushamharibia mipango yake hiyo laana utaishi nayo ukimuacha hivyo kama anakupenda mchukue huyo

Unaowapenda watakuacha kila baada ya muda anaekupenda atakuvumilia kila shida.
 
  • Thanks
Reactions: TX8
Nilishajaribu kumwambia lakini baada ya hapo alitaka kutoa mimba

ikabidi nimzuie kwa kumhakikishia kuwa me ndio mume wake ila nilifanya ivo ili asiitoe mimba.

Niliogopa kuwa sababu ya yeye kutoa mimba.
Wewe ndo mume wake maneno huumba chukua jiko hilo mkuu utaishi kwa amani sana
 
Jozee mzima kabisa japo sina mawasiliano nae toka mpenzi baby wangu aliporudi, usifukue ya nyuma utanisababishia talaka ujue,

I really missing you friend, umenipa tabu sana kukutafuta ujue
Tena anyamaze kabla sijaita ile team
 
Pole sana, sikiliza moyo wako ukijilazisha iko siku utamuona kama mlezi tu si mkeo na kuanza kucheat huko nje
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom