Naombeni ushauri wenu wakuu.

Naombeni ushauri wenu wakuu.

TX8

Member
Joined
Mar 17, 2018
Posts
28
Reaction score
15
Mwezi wa kwanza mwaka huu nilikuwa Arusha kikazi na kwa wakati huo nilikuwa napitia misuko suko ya kimahusiano ikapelekea kuachana na aliyekuwa mwenza wangu.

Baada ya kuachana na mwenza wangu sikuwa sawa kabisa kwakuwa nilikuwa bado nampenda sana, katika kipindi kifupi cha majukumu yangu kule Arusha nilikutana na binti ambaye niliamua niwe nae lakini kwakweli sikumpenda zaidi ya kumtamani tu.

Binti yule alibeba ujauzito na sasa una miezi miwili,

Kinachonifanya niombe ushauri kwenu ni kuwa binti yule imani yake ni kuwa mimi ndiye mume wake hasa baada ya kunasa ujauzito wangu.
lakini kwakweli hayupo moyoni mwangu kabisa yani sina furaha hata tukiwa wote nafanya kujilazimisha tu kuongea nae.

Naomba ushauri kwenu wakuu je, Niendelee kujiaminisha kuwa siku moja nitakuja kumpenda? ama niamue kuishi na mwanamke nitakayempenda?

Niliamua kuwa nae kwakuwa nilijua baada ya muda mfupi nitaondoka na kumuacha na maisha yake ya awali

kwa lugha nyepesi, alikuwa kipozeo tu.

Natanguliza neno la msamaha kwa yeyote nitakaye mkwaza.
 
Kwenye mahusiano ni nadra sana nyote wawili kuwa na kiwa ngo kinacholingana cha kupendana. Kwa hilo linalokukabili sema na moyo wako
 
Mwezi wa kwanza mwaka huu nilikuwa Arusha kikazi na kwa wakati huo nilikuwa napitia misuko suko ya kimahusiano ikapelekea kuachana na aliyekuwa mwenza wangu.

Baada ya kuachana na mwenza wangu sikuwa sawa kabisa kwakuwa nilikuwa bado nampenda sana, katika kipindi kifupi cha majukumu yangu kule Arusha nilikutana na binti ambaye niliamua niwe nae lakini kwakweli sikumpenda zaidi ya kumtamani tu.

Binti yule alibeba ujauzito na sasa una miezi miwili,

Kinachonifanya niombe ushauri kwenu ni kuwa binti yule imani yake ni kuwa mimi ndiye mume wake hasa baada ya kunasa ujauzito wangu.
lakini kwakweli hayupo moyoni mwangu kabisa yani sina furaha hata tukiwa wote nafanya kujilazimisha tu kuongea nae.

Naomba ushauri kwenu wakuu je, Niendelee kujiaminisha kuwa siku moja nitakuja kumpenda? ama niamue kuishi na mwanamke nitakayempenda?

Niliamua kuwa nae kwakuwa nilijua baada ya muda mfupi nitaondoka na kumuacha na maisha yake ya awali

kwa lugha nyepesi, alikuwa kipozeo tu.

Natanguliza neno la msamaha kwa yeyote nitakaye mkwaza.
Mkuu hiyo furaha umeikosa baada ya kumpa ujauzito au hulikuwa huna hata kabla ya kumtongoza?

Pia wakati mnabanduana kitandani pia ulikosa furaha?
 
Kweli moyo ni kiza kinene ...... mwambie tu ukweli !!!!
 
Mkuu maswali yako ni fikirishi sana.

lakini naweza sema alikuwa kipozeo tu mkuu

ingawa sijajibu maswali yako
 
Mwezi wa kwanza mwaka huu nilikuwa Arusha kikazi na kwa wakati huo nilikuwa napitia misuko suko ya kimahusiano ikapelekea kuachana na aliyekuwa mwenza wangu.

Baada ya kuachana na mwenza wangu sikuwa sawa kabisa kwakuwa nilikuwa bado nampenda sana, katika kipindi kifupi cha majukumu yangu kule Arusha nilikutana na binti ambaye niliamua niwe nae lakini kwakweli sikumpenda zaidi ya kumtamani tu.

Binti yule alibeba ujauzito na sasa una miezi miwili,

Kinachonifanya niombe ushauri kwenu ni kuwa binti yule imani yake ni kuwa mimi ndiye mume wake hasa baada ya kunasa ujauzito wangu.
lakini kwakweli hayupo moyoni mwangu kabisa yani sina furaha hata tukiwa wote nafanya kujilazimisha tu kuongea nae.

Naomba ushauri kwenu wakuu je, Niendelee kujiaminisha kuwa siku moja nitakuja kumpenda? ama niamue kuishi na mwanamke nitakayempenda?

Niliamua kuwa nae kwakuwa nilijua baada ya muda mfupi nitaondoka na kumuacha na maisha yake ya awali

kwa lugha nyepesi, alikuwa kipozeo tu.

Natanguliza neno la msamaha kwa yeyote nitakaye mkwaza.
Man kwanza pole, huyo binti alikuwa ni rebound kwako , ndio maana inashauriwa after break up usikurupuke kujenga mahusiano au kuingia kwenye mahusiano ili kupoza machungu, maana mara nyingi hayaishi vizuri..

Sasa ni hiv man,hamna jinsi ..binti kaisha shika mimba.. ni jukumu lako sasa kulea.. yes hukupanga lakini imetokea hivyo. No way out...
Na pia kama kuna uwezekano, jifunze kumpenda hata kama hayupo moyoni.. jifunze taratib .. si rahis lakin utazoea.

Ila kama unaona vip, sibir ajifungue mtoto akifika miaka kadhaa mchane ukweli. Japo hii ni hatari..
 
Jitahidi kumpenda ipo siku ataingia moyoni tu.

Hilo shuzi ushalijamba subir harufu tu ndugu yangu
 
Kwendraaaa zako hivi ulivyokachomeka bila mfuko ulitegemea nini?
Kila siku nawambia kama ndom bei kubwa basi tumieni hata mifuko ya sukari bei yake 50sh.
 
Kweli moyo ni kiza kinene ...... mwambie tu ukweli !!!!

Nilishajaribu kumwambia lakini baada ya hapo alitaka kutoa mimba

ikabidi nimzuie kwa kumhakikishia kuwa me ndio mume wake ila nilifanya ivo ili asiitoe mimba.

Niliogopa kuwa sababu ya yeye kutoa mimba.
 
Ahsante Mkuu
 
Man kwanza pole, huyo binti alikuwa ni rebound kwako , ndio maana inashauriwa after break up usikurupuke kujenga mahusiano au kuingia kwenye mahusiano ili kupoza machungu, maana mara nyingi hayaishi vizuri..

Sasa ni hiv man,hamna jinsi ..binti kaisha shika mimba.. ni jukumu lako sasa kulea.. yes hukupanga lakini imetokea hivyo. No way out...
Na pia kama kuna uwezekano, jifunze kumpenda hata kama hayupo moyoni.. jifunze taratib .. si rahis lakin utazoea.

Ila kama unaona vip, sibir ajifungue mtoto akifika miaka kadhaa mchane ukweli. Japo hii ni hatari..

Ahsante kwa ushauri wako mkuu.

lakini kama ulivyosema kuwa kumwambia ukweli ni hatari,ni kweli ni hatari mkuu kwakuwa nilishawahi kumwambia ukweli na matokeo yake alitaka kutoa mimba.

ikabidi nimhakikishie kuwa mimi ndiye mume wake ili kulinda kile kiumbe.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom