Naombeni ushauri wenu wa haraka


umeandika kitu cha kipumbavu sana hata kama hapa hatujuani haukuwa na haja ya kuandika upuuzi huo, na pia kilicho mkuta kibeku hata ungokitamkuta, usishabikie tatizo la mwenzio litajitokeza kwa kwaklo kivingine na halitakuwa na ufumbuzi ingawa mimi natakiwa kutoa millioni 12 nipandikiziwe nikiamua kuuza shamba langu la ekari 75 na lina hati liko mwasonga kigamboni unadhani nitapandikiziwa mimba ngapi?

Au kwa kuwa umeona nimeandika sina hela hivyo umenichukulia kama unavyomuona mke unayemlisha ukaona uandike upuuzi? huwezi kuchangia acha hujui hali niliyokuwa nayo wakati naandika post hii na watu wenye akili zao walivyonishauri na kupata faraja yao nimebadilika kiasi gani. Ukiona mtu ana tatizo usicheke vaa huusika ingekuwa wewe au ndugu yako ungemweleza maneno kama haya?
 
sometymz yes! ndio maana nikatoa tahadhari. samahani kama ntakuwa nimekukwaza ila tahadhari kwa jinsia yako na bibafsi naumia sana kwa vitendo hivyo.

hata kama unataka kutoa ushauri kwa mtu usilenge kuwa ametoa mimba, mi siyo mjinga nikatoa au sina uwezo wa kumlea mtoto kilichotokea ilikuwa ni BP ilikuwa inanisumbua sana na ikatoka yenyewe. kiukweli sikupenda ushauri wako
 
Sijui unamaanisha nini hapa!!
Unaweza vipi ukahalalisha kwamba natania?
Huo uhanith wangu upo wapi?
What if nitamsaidia na akafanikisha?
Najaribu kutafakari upeo wako na ulichokiandika nahisi kama wewe ndiye mwenye vyote ulivyoviandika hapo,
i am a mother,
najua ni vipi mwanamke anajisikia anapokua katika hatua hiyo,
kwahiyo nisitoe tiba kwa mtu mwenye uhitaji?
Nakosa neno sahihi la kukujibu ila unapaswa kusoma between lines na kuangalia unaemqoute.
Wakati mwingine utani weka kando na ujinga.acha utoto kama huna cha kuchangia kaa kimya.mtu anatatizo unaleta habari za kihanithi.pumbav
 
Jawilat

kama wewe ni mama im sory nime kosa nisamehe.nisamehe please

Natamani sana kueleza vile nilivyo elewa post yako ila usingizi una nishinda nguvu

please labda umelala sa hivi ukiamka ntafurahi kama ntaona post yako ya ku kubali msamaha wangu

please please please



 
Pole sana kwa tatizo lako but kuwa makini sana katika mchakato wa kutatua tatizo lako.tambua kuwa kuna utapeli so usijisahau. I belive tatizo lako ni la kawaida sana nikimaanisha linasovika.Kuwa na iman MUNGU NI MWEMA ukimshirikisha katika maamuzi naamini atatenda jambo juu uzazi wako.
 

pole dada yangu. yan had nmejihis kuulia. ila nakuomba utulize akili kwanza sikuhiz matapeli wa matatzo kamahayo ni wengi wasje wakakupa tiba hewa au itayodhuru afya yako. ongea tena na madaktar wa hosptal tofaut uskie wanasemaje... mungu yu pamoja nawe iposiku utarud kutushuhudia umejfungua salama
 
Nenda kwa daktari mwingine wa mambo ya kike wafanye ultrasound etc upate jibu pia. Ila jua mimba uwa tabu kuingia kwa mawazo ya kuitaka yakijaa kichwani. utokea kwa wengi. Omba upate mwongozo na uwe makini usije pata ma doc/waganga wakakuaribu kabisa. na kama ulipata mimba wakati ule waweza pia now.
 

asante sana nilishafanyiwa ultrasound pia nikafanyiwa kile kipimo kingine kinachouma sana kinawekwa dawa sehemu husika halafu xray inapiga picha kuona dawa imeishia wapi hiki ndicho kilicholeta majibu ya kuwa mirija imeziba na ni karibia kabisa na kizazi. namuomba sana Mungu naimani nitashuhudia hapa nimepata ujauzito
 
Pole xian jamani yaani nimeguswa sana na tatizo lako wasiliana na mzizimkavu hapo juu may be utafanikiwa kwa tiba mbadala.All the best usiache kuleta mrejesho ukifanikiwa.
 
Ok hakuna neno.
 
we utakuwa msanii tu kama sio msanii ni mchina jina lako tu lina akisi hivyo Xian
 
Last edited by a moderator:
Pole xian jamani yaani nimeguswa sana na tatizo lako wasiliana na mzizimkavu hapo juu may be utafanikiwa kwa tiba mbadala.All the best usiache kuleta mrejesho ukifanikiwa.

asante nimeshawasiliana nae
 
Nenda kaonane na daktari bingwa

Ufanye hsg/hcg ( sina uhakika na spelling) na vipimo vingine utakavyoshauriwa na de

Kupandikiza ni hatua ya mwisho
(Ila usifanyie dar, ya dar ni chai tu)
 
Nakushauri vilevile nenda Ekenywa hospital ipo mwembechai magomeni kuna Dr bingwa wa magonjwa yakina mama.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…