Pole sana!
Nipatie 500k nikupatie dawa.
Ila dawa kwanza malipo baadae.
Duh...Pole sana mkuu,ilo tatizo lako ni very sensitive...Ila Mungu atakusaidia,usichoke kumwomba.
Samahani wapendwa, mwenzenu nimechanganyikiwa naombeni ushauri wenu. nilianza kupata maumivu kidogo tumboni sehemu ya uzazi nikaenda kupima hospitalini ni kaambiwa kila kitu kipo sawa ila ni mirija ya uzazi imezibana imeziba karibia na kizazi kabisa. nimerudi leo tena kuonana na Daktari ambaye niliambiwa atanisaidia nimemuona na ameniambia hakuna njia nyingine zaidi ya kupandikiza. Ndugu zangu kupandikiza ni million 12 hadi 15 kiukweli hizo pesa sina. naomba yoyote anayejua njia nyingine ya kuweza kunisaidia na mimi niweze kupata ujauzito. lakini mwaka juzi nilipata ujauzito ila ulitoka ukiwa na miezi 3 na nilisafishwa vizuri nina imani. naombeni ushauri wenu nimechanganyikiwa leo hata kama ni dawa za kienyeji niko tayari.
asanteni natumaini nitashauriwa vema.
niko very serious kama ni dawa itanisaidia niko tayari
Calm down,usuchukue maamuzi yoyote kwanza hebu tuliza akili,jaribu kuwaona madaktari wa wanawake pamoja na madaktari wabaotibu kwa njia za asili za mitishamba,nina uhakika utapata ufumbuzi,hebu wasiliana na huyu 0754 464 525 anautwa dokta kibona,mweleze tatizo lako,ukipata msaada urudi for feedback,all the best

asante sana nimeshaongea nae ameniambia napayikana shekilango Mungu anipe uhai kesho niende, asante sana kwa msaada wako
jaribu na kwa mganga
jaribu na kwa mganga
Karibu,ukipata tiba ulete feedback ili wenye tatizo kama hilo nao wapate msaada
Mungu akusamehe bure
mganga gani mkuu?
mganga wa jadi