Naombeni ushauri wenu na masahada tafadhali juu ya Swala Hili linalo nikabili mwana forum mwenzenu

nimekuelewa mkuu
 
nimekuelewa mkuu
Ukiamua kufanya maamuzi yako mkuu, unaweza ukatafuta mwanasheria wa kukuwakilisha mahakamani au kama utajiwakilisha mwenyewe, ukaomba msaada wana JF tukakuasaidia kuandika maombi na kukutumia ya kupeleka mahakamani, pia ukaelezewa hatua za kufuata ku file maombi yako hayo.

Ukiamua kumsubiri mwanamke aamue lake, pia sio tatizo
 
Kama tutafika mahakamani nitasimama Mimi Kama Mimi Swala lolote litakalo nitatiza sintosita kuwaletea mezani kwaajili ya kulipatia utatuzi kwa wakati.
 
Mmh something is telling me huyo beki tatu huyo ndo chanzo cha tatizo
Hujamla kweli alafu wife akagundua?
 
Pole kwa uboya....huyo amepata.mchepuko...mwambie apotee
 
Mhh,kweli hiyo ndoa imekuwa ndoano, Ni kweli kama ndivyo ilivyo hata mimi namsikitikia huyo mtoto. Na pia inawezekana hampendi na hapendi kuondoka nae, ila ankukomoa tu kwa kuona kuwa inakuuma ukiwa kwa yeye kuondoka nae, Pia usishangae baadae akamrudisha yeye mwenyewe.
Angalizo kwa wanaume wenzangu; kuna wimbi la wanawake ambao wanataka kuolewa na hawako tayari kwa maisha ja ndoa. wao shida yao ni kiwa na historia kuwa wamewahi kuoana. Uking'ang'aniza mausiano na watu wa aina hii utapata tabu sana.
 
KAKA HUYO SIO MWANAMKE NI SHEITWAAN...NA BAKWATA HAWANA KOSA KUKUBALI MAOMBI YAKE YA TALAKA...KWA SABABU WANAKUEPUSHA NA SHARI ZA HUYO SHEITWAAN...

NA WAMEKUPA HAKI ZA HUYO MTOTO KWA YA UPUMBAVU WA HUYO SHEITWAAN...HEBU SIKU MOJA ANZISHA KAUGOMVI FULANI MCHOKONOE ZAIDI...HUENDA HATA HUYO MTOTO SIO WAKO...ALIVYO SHEITWAAN HASHINDWI KULOPOKA SIRI YAKE...
 
Wanawake bhna hapo mimi sijaona sababu ya msingi ya kuvunja ndoa kwa kweli huyo anaweza akawa amepata mtu mwingine hakuna jambo baya kama kulazimisha upendo ulio isha achana nae huyo kwani?? Bado anakunyima tendo la ndoa
Huyu atajmkuwa na mtu nje. Na upendo kahamishia huko moja kwa moja. So suala la ndoa kichwan kwake halipo. Kahamishia upendo wote huko.
Jamaa akubali tu, na vile mke ana kazi basi kibur kimejaa kama chote.

Amuache aende.. ila hiyo hali huisha, na ikiisha mke atasikia aib sana. Huwa wanataka kurudi.
 
Mkuu. Hao marafiki nao ni tatizo. Kuna msemo unasema, nionyeshe marafiki zako nikounyeshe tabia yako.
And yes aina ya marafiki alionao mkeo, ndio hao wanaharibu ndoa yako.

Sgida ya wanawake walioachwa , huwa na visasi na wanaume wengine ambao hawahusiki. Kwa hiyo huwashaur ujinga rafiki zao, ili wawaone waume zao wabaya.. hata kama ndoa imetulia. Ndoa ikishavunjika mwanamke atafurah watampongeza.. akishaanza kupata taabu. Wakamkimbia ndio huanza kujutia.
 
Jitahidi pia kupima afya upya kabla ya tendo la ndoa maana huyo sio wakwako peke ako OK.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…