Fallback
JF-Expert Member
- Aug 12, 2023
- 3,477
- 6,493
TANESCO ni shirika la kijinga kabisa kuwahi kutokea Nchi hii yaan unakataje umeme zaidi ya masaa 13 kuna viwanda kuna watu wanaendesha maisha yao kwa kutumia umeme, wewe masaa 13+ umezima umeme una akili wewe? Wanaboa sana wajiangalie katika hili wanakera mnohuku una siku 5 haujakata mkuu..kulia kupokezana.