Nashindwa kushauri ila kiukweli kuna jamaa mmoja alishawahi kuunga unga elimu na Leo ni mwanasheria na ana mafanikio makubwa tu. Enzi hyo Mimi nipo Udsm yeye alikua anafanya degree yake Open University.
Embu jaribu kucheki taratibu za IJA Lushoto pale uone kama atakubalika. Kama atakubalika unaeza ukawa mwanzo mzuri wa yeye kutimiza ndoto yake.