NZURI PESA
JF-Expert Member
- Mar 25, 2011
- 5,958
- 2,967
Hayo madubwasha ukiyaacha TU utanuka balaaa! TUMIA UKOKO WA UGALI ULIO ROWEKWA UTAKUONDOLEA YOTE MAWILI JASHO NA MNUKONimeanza kutumia nivea deodorant
Hayo madubwasha ukiyaacha TU utanuka balaaa! TUMIA UKOKO WA UGALI ULIO ROWEKWA UTAKUONDOLEA YOTE MAWILI JASHO NA MNUKONimeanza kutumia nivea deodorant
Acha kula nyanya ntore
Acha kushauri ujingadu! nenda kwa sangoma fasta, pana mkono wa mtu hapo!
hospitali umeenda ndugu labda ushauriwe hasa sweat glandDuu asante Mkuu!
duuuh pole mkuu na check up ya mwili umewahi kufanyaNdio hospital wanashauri unywe maji mengi,
Hawana zaidi
okayNitajaribu dove,nivea imenisaidia,Ila ninaallergic nayo
Hayo mambo huwapata wengi waliokuwa na tabia ya kuvaliana Nguo utotoni au ujanakati (kipindi cha skuliiii,chuo nk)Ndio nimefanya Mara nyingi,vipimo vinaonesha Niko salama,sina element yoyote ya ugonjwa,na ninaishiwa kushauriwa kupumuzika nisijioverdoze kwenye kazi