kampelewele
JF-Expert Member
- Oct 13, 2014
- 2,998
- 2,414
Ukienda kwao watakuwa Upande wake, hujui moshi wewePole sana mkuu,, jaribu kwenda kwao na itisha kikao kidogo cha family ili kupata shuruhisho,,na pia ukienda kwao utajua mengi,,...
Ukienda kwao watakuwa Upande wake, hujui moshi wewePole sana mkuu,, jaribu kwenda kwao na itisha kikao kidogo cha family ili kupata shuruhisho,,na pia ukienda kwao utajua mengi,,...
Huna haja ya kulalamika Mkuu, mkeo amekuachia makinikia hapo ndani aiseeeee.....![]()
![]()
asa siatakua anakula kuku na mayai yake??Jirani haujambo?Hiv kumbe ndoa zipo hvyo Miez miwili mtu anasepa ananiacha na mdogo wake daah akirud anakuta manyoya



Poa mkuuu..ila kawaidaAisee.. Inabidi nifunge jalada sasa, Mkuu unacheza kama ngolo kante... Hongera mkuu
Sijambo nasikia na wewe una hyo michezo Jiran ya kurud kwenu miez sitaJirani haujambo?
hapana aisee, hii ni zaidi ya kawaida.Poa mkuuu..ila kawaida
Sikuolewa kwa bahati mbaya jirani.Sijambo nasikia na wewe una hyo michezo Jiran ya kurud kwenu miez sita
Sikuolewa kwa bahati mbaya jirani.
Jirani nisome vizuri tena.We juz c ulikua umeolewa?
Jirani nisome vizuri tena.
Hiyo sentensi haina alama ya mkato popote!
Zipo,tembea tuu ujioneeHivi kumbe kuna mila hizo moshi