MC RAS PAROKO
JF-Expert Member
- Feb 14, 2013
- 621
- 616
Naombeni ushauri kuhusu uwezekano wa kupata ajira kwani nina cheti cha uhasibu {accounting} na nina ufaulu wa second class ningeweza kuendelea na masomo kwa ngazi ya diploma ila waliokuwa wananiwezesha kusoma kwa kutoa michango mbalimbali na ada hawapo tena kwa hiyo nimefikiria kutafuta ajira hata ya muda kwanza ili nijipange kujiendeleza binafsi. Ahsanteni