The Zanzibar Echo
JF-Expert Member
- Apr 21, 2025
- 490
- 837
Kamuulize Hamis Kigwangala anaweza kukushauri vizuri zaidi.Mimi ni mwanafunzi wa shahada ya udaktar KCMC UNIVERSITY mwaka wa pili ni bado umri mdogo but najikuta nafatilia siasa mda mrefu kuliko fani yangu na roho inanilazimisha kutaka kukemea yanayofanywa na viongozi wa ccm especially nikiona maisha ya watoto wa kimasikin mitaan ninamo pita kila siku
Mimi ni mwanafunzi wa shahada ya udaktar KCMC UNIVERSITY mwaka wa pili ni bado umri mdogo but najikuta nafatilia siasa mda mrefu kuliko fani yangu na roho inanilazimisha kutaka kukemea yanayofanywa na viongozi wa ccm especially nikiona maisha ya watoto wa kimasikin mitaan ninamo pita kila siku
Siwezi kumfikiq nambie ww kilichomkutaKamuulize Hamis Kigwangala anaweza kukushauri vizuri zaidi.
Thank u chiefSiasa achana nazo kwanza, soma ukimaliza ndo utachagua mbivu na mbichi
Kwann mkuuUna uhakika kama unazo akili?
Tafuta youtube utajifunza kituSiwezi kumfikiq nambie ww kilichomkuta
Jitahidi umalizie hiyo miaka mitatu ilobaki ili kama baadae ukiingia kwenye siasa uwe na elimu yako ya udaktari.
Kama una ndoto ya kuingia kwenye siasa unaweza ukaanza huko huko chuoni, gombea uraisi wa chuo nk ili ujijenge zaidi kwenye uongozi na siasa.
Jitahidi kupangilia muda wako vizuri hasa wa masomo na siasa au uongozi.
Ingia kwenye mfumo taratibu usiwe na papara, jifunze na omba sana uwe na hekima.
Kila la kheri Asante sana mkuu kwa ushauri mwanana ubarikiwe
Mbona unaniweka njia panda mkuuTafuta youtube utajifunza kitu