Naombeni ushauri wakuu,Its serious.

Naombeni ushauri wakuu,Its serious.

Huna mcmamo wewe embu jichunguze unakasoro gan kimaumbile nakitabia yawezekana unakibamia naunagubu maana haiwezekan ktk mademu wote wewe2 ndio wakuachwa
soma nilichokiandika vizuri mkuu maana inaonekana unaropoka tu bila kuelewa
 
Nimemaliza chuo cha UDOM na sasa ninafanya kazi na shirika fulani na mipango yangu nikuoa mwakani.
sasa nikiwa mwaka wa kwanza mwazoni kabisa niliachana na my first lover(naamini mnaelewa maumivu yake) sikutaka kujihusisha na mahusiano kabisa kwa ajili ya yale maumivu ya kuachana na yule,nikavumilia had mwaka wa pili katikati nikapata dada mrembo na sio siri nikaamini ndiye atakuwa mama watoto,lakin mwaka wa tatu mwanzoni yy alikuwa ashapata kazi maana alinizid mwaka mmoja wa masomo lkn hta kiumri alinizid mwaka mmoja,akaanza kubadilika na dharau kibao,niliumia sana ilifika kipind had naangusha chozi kwa ajili yake,na kiukweli sijui ilikuwa ni nini ile hali maana alikuwa akijitahid sana kunifanya niwe na furaha lkn ilishindikana,lkn kuna binti mwingine ambaye nilikuwa nae karb sana(tulikuwa naye mwaka wa tatu),kadri siku zilivokwenda uzalendo ukanishinda ikabid niachane nae na baada ya miez kadhaa nikaingia kwenye mahusiano rasmi na yule bint nilye kuwa nae mwaka wa tatu.
mapenzi yakawa moto sana na tumepanga mikakati ya kuona lkn ninaona kama figisu figisu nyingi,hasa heshima inapungua sio kama tulivyokuwa tunaanza mahusiano mpk sometimes nakata tamaa,hapo hapo yule dada anajileta kias kwamba tangu nimuache Bado anaamin me ndio mume wake maana hajawah kuwa na mwanaume mwingine tofaut na mm, niko njia panda kiukweli.
Wote ni wazuri asikwambie mtu,...NIFANYAJE?
Fuata moyo wako unasema nini kwanza alaf pia unatakiww kujua ni yupi ana mapenz ya kwel kwako
 
Ukiangalia uzuri pekee utaumia broh. Huyo uliyenae saaa heshima inapungua kila siku. Na huyo anayejileta sasa hivi kumbuka mwanzoni alikutosa (jiulize kwann anarudi sasa)

Take your time mkuu and think. Kumbuka upo katika uchaguzi wa mke na sio mpenzi.
Asante sana kwa ushauri
 
Alafu kila mwenye post aina ya mleta mada huwa amesoma UDSM mh mnanitia shaka
 
Nimekuelewa mkuu povu lann kwan nikuulize ulishawah kumpa kibut dem hata mmoja kat yauliyowah kuwa nao
Teh teh teh....mademu wote wanamtema yeye_bado hashtuki tu.....vilaza bhana..
 
Mwanaume unalia kuachana na demu wa kwanza!kwel japo ngono ni dhambi ila kuianza uzeeni nayo ni hatar
 
Yani kademu mwaka wa kwanza chuo unakapigia hesabu za kuoa??? Hivi kuoa ni rahisi kama unavyotamka??
Chukua mda mkuu usikimbilie kuoa na wala usitongoze demu kwa gia ya kuoa. Utampata atakaye kufaa tu.
Videmu vya chuo vingi huwa vinasaidia kusogeza sikuu tu masomo yaishe.
 
Mwanaume unalia kuachana na demu wa kwanza!kwel japo ngono ni dhambi ila kuianza uzewni nayo ni hatar
Acha2 hii dhambi tuihararishe kuwa sio dhambi, hiz mishe ukizizoea angali bado kijana haiwez kuja kukusumbua ukiwa mtu mzima
 
Yani kademu mwaka wa kwanza chuo unakapigia hesabu za kuoa??? Hivi kuoa ni rahisi kama unavyotamka??
Chukua mda mkuu usikimbilie kuoa na wala usitongoze demu kwa gia ya kuoa. Utampata atakaye kufaa tu.
Videmu vya chuo vingi huwa vinasaidia kusogeza sikuu tu masomo yaishe.
Tena ukitaka ufurahie zaid ukapate ambako hakana mizinga ya heavy weight utajichapia mwisho wacku unamaliza chuo kila mtu anajua ustarabu wake
 
Back
Top Bottom