Naombeni ushauri wadau kwa matokeo haya

Ntikwite

Member
May 13, 2017
93
53
Naombeni ushauri wadau je, naweza chaguliwa bachelor chuo cha open? Je nisome diploma? Je. Niludie mtihani? Au nikasome foundation?

P0385/0504

M

15

III

G/STUDIES - 'E' HISTORY - 'D' KISWAHILI - 'E' ENGLISH - 'S'
 
Unaweza kusoma Diploma kwa 2 years.

Au

Kusoma Foundation Course "Open University" kwa mwaka mmoja, Then Kujiunga Bachelor Degreee mwaka 2021
 
Naombeni ushauri wadau je, naweza chaguliwa bachelor chuo cha open? Je nisome diploma? Je. Niludie mtihani? Au nikasome foundation?

P0385/0504

M

15

III

G/STUDIES - 'E' HISTORY - 'D' KISWAHILI - 'E' ENGLISH - 'S'
Apo n danger lakn kuna maisha mengne out of education au ujuh
 
Back
Top Bottom