Naombeni ushauri wa nini cha kufanya

Naombeni ushauri wa nini cha kufanya

Ila wewe bwana na akili zako nachekaga kwenye comment zako mno, chombo cha starehe eh ona sasa mnavyoneng'eneka 🤣 eti akili tutatumia zangu 🤣. Mnatukosea sana basi tu aisee
kwa sasa hapa duniani tunahangaika kubadilisha elimu kuwa pesa...ndio changamoto kubwa. sasa unaoa mwanamke mwenye akili za maisha mna pambana lakini mwisho wa yote hayo yeye akipata pesa anatumia anapojua yeye ( plz enligten me if u can on whre u women actually spend ur money). sasa kama billz zote ndani ya nyumbba nalipa mimi, gari lake mafuta naweka mimi, wazazi wake wakiumwa nalipa mimi hadi chupi nanunua mie hizo akili za maisha zina faida gani kwangu mie.
tusichoshane bwana wee mwanamke nakuoa kwa ajili ya kugegeduana basi.
 
dah hatari mwanawane...sasa wewe unasema huyo mwanamke anapenda sterehe na vitu expensive na hana mawazo ya maendeleo. sasa ukimfungulia hiyo biashara sii itakuwa majanga tuu ndugu yangu. lazima ifirisike.
Hiyo biashara ataiua ili akutie adabu na atavuruga kila kitu mpaka upate pressure na mangine kibao,hebu jiandae kwa vita nzito ya kiuchumi.
 
yeye atulizane tuu kasha bugi meeen. aendelee na huyo mrembo muhimu awe anapewa mbususu. kwanza ashukuru hajapewa hiv
 
Watoto wako Wana umri Gani??
Kama Wana umri wakukaa na baba Yao chukua watoto Kaa nae yeye mpe ela ya mtaji akimaliza alale mbele.

Ila nawewe kiongoz ulinogewa nin huko??
Umetia mimba yakwanza mpk miez 9 akazaa ukaleta ukatia nyingine unalea. Yaan akili Yako ilikutuma kuwa mke wako hatajua au ukiwaza nn
achukue watoto mke atakubali. remember mke anajielewa.

anajua watoto wake awatachukua kitu siku ya mzee amesepa anataka achukue cha watoto wake mapema. in short jamaa ndoa yake imevunjika. 50 % atatoa kwa mke wake, the struggle begins. na possible atazaa tena mwanake mwingine. i won't comment much ila hata mimi kama ni sister wangu that marriage is over.
 
Habari, mimi nimeoa nina mke na nimezaa nae watoto wa nne, mke wangu ni mzaliwa wa Tanga, kuna mistake ambayo nilifanya nilijikuta natoka nje ya ndoa yangu na kuanzisha mahusiano na binti mwingine (mchepuko) ambae ni mzaliwa wa kondoa (mrangi) na huyu mchepuko pia nimezaa nae watoto wawili. Mke wangu amegundua kuwa nimechepuka na nimezaa nje ya ndoa yangu, furaha imetoweka ndani ya nyumba na mke wangu anataka nimpe talaka tuachane. Kiukweli nashindwa kumuacha mke wangu kwasababu ni mwanamke mwenye kujielewa sana, mpambanaji na pia ndie nilieanza nae tangu sina kitu mpaka Leo hii mungu kajaalia nina maisha mazuri

Niliteleza kuchepuka na kuanzisha mahusiano na huyu mwanamke mwingine wa kirangi na kuzaa nae

Kitu sahihi ambacho nimewaza au naona ni sahihi ili kunusuru ndoa yangu ni kuachana na huu mchepuko ili nibaki na mke wangu tulee watoto wetu kwasababu huyu mchepuko kwanza hana akili ya maisha anachojua ni starehe na kupenda vitu vya thamani ambavyo havina maana katika maisha yani hawazi maendeleo yoyote zaidi ya starehe na kuvaa nguo mpya tu

Nimewaza niwajengee watoto niliozaa na huyu mchepuko kisha nimpe msingi afungue biashara ili hiyo biashara atakayofungua ndio iwe inapatikana pesa ya kulisha watoto, na nimepanga kuwakatia Bima ya afya watoto ili iwasaidie pindi wakiumwa kwa maana mimi nibakie na jukumu la kuhakikisha tu watotoe wanasoma na kulipiwa Ada shule.

Sihitaji connection yoyote na huyu mchepuko ili niweze kukaa na mke wangu kwa amani na yeye nimuache na maisha yake.

Naomba kujua, nikimfungulia biashara ili iwe inasaidia kulisha watoto niweze kuepeka suala la kutoa pesa za kila siku za matumizi ya watoto ni sahihi au si sahihi?! Naomba ushauri wenu na mawazo yenu nini sahihi nikifanye maana naona tayar nishachanganya Unga na cement kwenye maji mpaka sasahivi, nishauri chochote ambacho unahisi kitanisaidia
First kuchepuka mpaka umezaa nje, wewe hujachepuka ila umedhamiria
Kaka mwanamke wako yuko right kabisa kutaka kuondoka umempiga na kitu kizito.

Sasa ishu yako ni kubwa bila kuusisha wazee hii ngoma uchomoi mzee baba. Husisha wazee mapema sana kabla mambo hayajaenda kushoto
 
Wanaume sioni comments zenu humu🤣🤣
Wanawake wanaopambana na nyinyi mnawapenda kimslahi. mnatumia nguvu zao mnapata mali mnaenda kujengea michepuko.
Sasa huo mchepuko ambao hauna akili za maisha mnawafuata wa nini??

Cc Kisai Zemanda Deleted01 na wengine mje tuone comments zenu na huku

Honestly wanaume hamjielewi mnatakaga nini kwenye maisha yenu. Ni wapumbavu pro max na mabingwa wa kupotezea mda wake zenu. Baki na huyo golikipa wako mchepuko si ndo mnaowapenda.
Me sina cha kuchangia sababu ni scenario sijawahi experience na sitarajii, Mungu anisaidie. Mke wangu alinikuta tayari nina baby mama ambao situation za kuwaoa zilikuwa almost ni impossible but ever since niko naye, hayo ya michepuko nimewaachia wenzangu. Mimi ni wa mke wangu tu.
 
Ila post ingekua inahusu mwanamke kukosea mngejazana kuwaita feminists.

Sio wewe kule ulisema akiwa na shughuli za kimaisha anapata kiburi, huyu aki kasirika mtasema ni mafanikio yamembadilisha? Ukasema mwanamke anatakiwa abaki nyumbani alee watoto, mnawafanya hivyo ili ikitokea situation kama hii wasiwe na pa kwenda! Wanaume mna shida kubwa nawaambia.

Na umesema una baby mamas, unao wangapi? Na mnapata nguvu ya kutukana single moms mnasema wengi ni kwasababu ya feminism je wewe wote uliowaacha walikua wanakasoro hizo hizo? Na kashfa zote hizi kuhusu single moms mmejipangaje kuitokomeza? Kwanini mnaenda kuzaa na wanawake ambao hamna malengo nao?

Na kule nilikua nawapa scenarios hizi mnasema natunga mara nakua na mawazo negative tu haya kiko wapi sasa? Ubishi wa bure tu ila kiufupi acheni wanawake wafanye kazi waepukane na uzwanzwa kama huu mwanaume hana heshima na mkewake hata mke aweje
 
Mengi uliyaongea hapo me sijawahi kukutana nayo ndo maana sina cha kuongea. Mimi kama umenotice napenda kusoma na kusikiliza zaidi kuliko kuongea na kubishana na mambo ambayo sina exposure nayo.

Pili, me sikuwa na shida na baby mamas wangu wote wawili, ni kwamba tulipeana mimba tukiwa wadogo sana, just immediately after tumemaliza vyuo, nilikuwa wa moto sana enzi hizo , haha( kidding). Sababu ya kwanini sikuwaoa ni kwamba mmoja alienda kusoma Masters Perth Australia after kujifungua na familia yake haikuwa tayari nimuoe by then, ukichanganya na fact kwamba hatukuwa tumejipata tusingeweza kulazimisha. Huyo wa pili wakati na mimi naenda Texas kusoma, nilimuacha na ujauzito, akajifungua salama then na yeye akaenda Canada kutafuta maisha kama 2 years after mimi kuondoka, yupo huko mpaka leo, alishapata resident permit kwahyo hana mpango wa kurudi huku.

Niliporudi nyumbani after i was done na life la ughaibuni, wote hawakuwepo bongo na nilikuwa nataka kuoa kwa muda huo. Ndo nikadondokea kwa huyu malkia wa moyo wangu. Na sijui kwanini lakini baby mamas wangu wote hakuna aliyeolewa mpaka leo.
 
Wanaume sioni comments zenu humu🤣🤣
Wanawake wanaopambana na nyinyi mnawapenda kimslahi. mnatumia nguvu zao mnapata mali mnaenda kujengea michepuko.
Sasa huo mchepuko ambao hauna akili za maisha mnawafuata wa nini??

Cc Kisai Zemanda Deleted01 na wengine mje tuone comments zenu na huku

Honestly wanaume hamjielewi mnatakaga nini kwenye maisha yenu. Ni wapumbavu pro max na mabingwa wa kupotezea mda wake zenu. Baki na huyo golikipa wako mchepuko si ndo mnaowapenda.

Naam bibie, inabidi tuanze kufundishana uanaume ni nini ? Huyo bado yupo kwenye makosa na analaumiwa kwa kufanya kosa hilo, sababu katika sifa za Mwanaume ni kuwa mkweli na kuwaonea huruma na kuwalinda wale ambao ni dhaifu na katika wadhaifu ni WANAWAKE.
 
Honestly wanaume hamjielewi mnatakaga nini kwenye maisha yenu. Ni wapumbavu pro max na mabingwa wa kupotezea mda wake zenu. Baki na huyo golikipa wako mchepuko si ndo mnaowapenda.

Shida yako ni wewe kulifanya jambo la mtu mmoja mmoja likawa kwa wote.
 
Habari, mimi nimeoa nina mke na nimezaa nae watoto wa nne, mke wangu ni mzaliwa wa Tanga, kuna mistake ambayo nilifanya nilijikuta natoka nje ya ndoa yangu na kuanzisha mahusiano na binti mwingine (mchepuko) ambae ni mzaliwa wa kondoa (mrangi) na huyu mchepuko pia nimezaa nae watoto wawili. Mke wangu amegundua kuwa nimechepuka na nimezaa nje ya ndoa yangu, furaha imetoweka ndani ya nyumba na mke wangu anataka nimpe talaka tuachane. Kiukweli nashindwa kumuacha mke wangu kwasababu ni mwanamke mwenye kujielewa sana, mpambanaji na pia ndie nilieanza nae tangu sina kitu mpaka Leo hii mungu kajaalia nina maisha mazuri

Niliteleza kuchepuka na kuanzisha mahusiano na huyu mwanamke mwingine wa kirangi na kuzaa nae

Kitu sahihi ambacho nimewaza au naona ni sahihi ili kunusuru ndoa yangu ni kuachana na huu mchepuko ili nibaki na mke wangu tulee watoto wetu kwasababu huyu mchepuko kwanza hana akili ya maisha anachojua ni starehe na kupenda vitu vya thamani ambavyo havina maana katika maisha yani hawazi maendeleo yoyote zaidi ya starehe na kuvaa nguo mpya tu

Nimewaza niwajengee watoto niliozaa na huyu mchepuko kisha nimpe msingi afungue biashara ili hiyo biashara atakayofungua ndio iwe inapatikana pesa ya kulisha watoto, na nimepanga kuwakatia Bima ya afya watoto ili iwasaidie pindi wakiumwa kwa maana mimi nibakie na jukumu la kuhakikisha tu watotoe wanasoma na kulipiwa Ada shule.

Sihitaji connection yoyote na huyu mchepuko ili niweze kukaa na mke wangu kwa amani na yeye nimuache na maisha yake.

Naomba kujua, nikimfungulia biashara ili iwe inasaidia kulisha watoto niweze kuepeka suala la kutoa pesa za kila siku za matumizi ya watoto ni sahihi au si sahihi?! Naomba ushauri wenu na mawazo yenu nini sahihi nikifanye maana naona tayar nishachanganya Unga na cement kwenye maji mpaka sasahivi, nishauri chochote ambacho unahisi kitanisaidia
Watoto wana miaka mingapi
 
Acha ujinga, tumia ubabe ishi nao na wapangie zamu. Uzuri wote imezaa nao, hakikisha watoto wote ni damu yako pia.

Tatizo dini zimewapotosha kuhusu mke mmoja. Wewe unataka watoto wako awalee nani?

Kuwa responsible 100% kwa damu yako. Hao watoto wa mchepuo ndiyo watakufaa baadaye, usiwatelekeze.

Bi mkubwa kama haelewi somo, mpe talaka aondoke zake maana tofauti na hapo lazima atakupiga tukio ikiwa hajakubali mke wa pili.
 
Lea watoto tuma hela ya matumizi lipa ada. Mchepuko hasomeshwi mchepuko hafunguliwi biashara.

Kaa na familia yako kama mke atakubali yaishe.
 
Habari, mimi nimeoa nina mke na nimezaa nae watoto wa nne, mke wangu ni mzaliwa wa Tanga, kuna mistake ambayo nilifanya nilijikuta natoka nje ya ndoa yangu na kuanzisha mahusiano na binti mwingine (mchepuko) ambae ni mzaliwa wa kondoa (mrangi) na huyu mchepuko pia nimezaa nae watoto wawili. Mke wangu amegundua kuwa nimechepuka na nimezaa nje ya ndoa yangu, furaha imetoweka ndani ya nyumba na mke wangu anataka nimpe talaka tuachane. Kiukweli nashindwa kumuacha mke wangu kwasababu ni mwanamke mwenye kujielewa sana, mpambanaji na pia ndie nilieanza nae tangu sina kitu mpaka Leo hii mungu kajaalia nina maisha mazuri

Niliteleza kuchepuka na kuanzisha mahusiano na huyu mwanamke mwingine wa kirangi na kuzaa nae

Kitu sahihi ambacho nimewaza au naona ni sahihi ili kunusuru ndoa yangu ni kuachana na huu mchepuko ili nibaki na mke wangu tulee watoto wetu kwasababu huyu mchepuko kwanza hana akili ya maisha anachojua ni starehe na kupenda vitu vya thamani ambavyo havina maana katika maisha yani hawazi maendeleo yoyote zaidi ya starehe na kuvaa nguo mpya tu

Nimewaza niwajengee watoto niliozaa na huyu mchepuko kisha nimpe msingi afungue biashara ili hiyo biashara atakayofungua ndio iwe inapatikana pesa ya kulisha watoto, na nimepanga kuwakatia Bima ya afya watoto ili iwasaidie pindi wakiumwa kwa maana mimi nibakie na jukumu la kuhakikisha tu watotoe wanasoma na kulipiwa Ada shule.

Sihitaji connection yoyote na huyu mchepuko ili niweze kukaa na mke wangu kwa amani na yeye nimuache na maisha yake.

Naomba kujua, nikimfungulia biashara ili iwe inasaidia kulisha watoto niweze kuepeka suala la kutoa pesa za kila siku za matumizi ya watoto ni sahihi au si sahihi?! Naomba ushauri wenu na mawazo yenu nini sahihi nikifanye maana naona tayar nishachanganya Unga na cement kwenye maji mpaka sasahivi, nishauri chochote ambacho unahisi kitanisaidia
Kama una uwezo wa kuwa huduma wote wewe waowe wote kuowa wanawake wawili sio zambi
 
Kwanza KABISA.
kapime DNA ya watoto wa huyo mrangi.
Pili usije ukamuwezesha mwanamke asiye mke au mtoto wako kufungua biashara.
Lete majibu ya DNA tuzungumze zaidi.
Kukaa kwote mjini kumbe hujui ulaghai wa warangi.
 
Uliteleza mara zote ukajikuta upo juu ya kifua cha mrangi kupelekea kumzalisha watoto wawili???

Umelikoroga, linyewe sasa. Tena nakuombea kwa Mungu mrangi akaze fuvu kukataa kuachwa, pumbavu.
 
Ushachanya unga na cement huo ni uga uliochangamka ,tafuta mboga ulumangie.
Tuletee mrejesho.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom