Ms Billionaire
JF-Expert Member
- Jul 18, 2020
- 2,470
- 4,971
Sio wewe uliesema natunga hizi scenarios huwa hazipo?Naam bibie, inabidi tuanze kufundishana uanaume ni nini ? Huyo bado yupo kwenye makosa na analaumiwa kwa kufanya kosa hilo, sababu katika sifa za Mwanaume ni kuwa mkweli na kuwaonea huruma na kuwalinda wale ambao ni dhaifu na katika wadhaifu ni WANAWAKE.
Sijui huwa mnabishaga nini au mnajivesha nguo kilazima
Af unavosema najumuisha jambo kuwa la wote. Mbona kule ulikua una support kwamba wanawake wanaofanya kazi ni wajeuri na wabishi huoni kama ulijumuisha wote?
Nataka niwafundishe kitu pia kwamba wanaume msijione nyinyi ni wakamilifu na kwamba eti chanzo cha ndoa nyingi kuvunjika ni wanawake tu sio kweli. Kwenye scenario kama hii mwanaume mwenzenu kapuyanga ila kwa namna yoyote ile mnatamani kusema mwanamke wa ndoa ndo amefanya mwanamme kachepuka.. BADILIKENI