Ninaishi na mume wa mtu mwaka mmoja sasa na ananipa chochote ninachotaka na ananipenda sana na kunijali tatizo mimi natumia nguvu za giza kumpumbaza ili nimfaidi tu mpaka nitakapopata mchumba wa kunioa.
Nina rafiki wa kiume ambaye nilimweleza kila kitu na akakubali kuwa na mimi kwa hali yoyote ile na ananipenda sana nami nampenda maana hakika ni handsome wa nguvu ila tu uchumi haujakaa vizuri na huwa namsaidia shida ndogo ndogo maana nimetulia kwa mtu mwenye kila kitu yani namfananisha na Mungu wangu wa Duniani ila tatizo ni moja tu.
Huyu mume wa mtu kanizidi umri na huwa haniridhishi vizuri ila napretend tu ili aone nampenda sana na sina mwingine. Huyu handsome wangu ananifurahisha sana mpaka huwa naomba Mungu huyu mume asafiri niweze kuchepuka vizuri au wakati mwingine natumia siku ya Jumapili nikiaga naenda kwa ndugu, rafiki au salon, namalizana nae fasta fasta.
Nishaurini nifanyeje maana nikimpoteza handsome wangu nikabaki na huyu mzee yeye akizeeka mie nitakuwa bado mbichi sintaweza kutulia nyumbani. Sikutaka kubeba mimba haraka nikamwambie tule happy kwanza kumbe mimi nabuy time kuangalia muelekeo na kuisoma familia vizuri. Nikiwa kazini nawaza sana lakini ndugu zangu na mama yangu wananipa moyo niendelee tu.
Naombeni mnishauri maana naogopa kuja kujutia maamuzi yangu niko njia panda