Nina simu ya samsung galax s4.. hii simu tangu naanza kutumia huwa inapata moto sana hasa wakati na browse kwenye net ns wakati naongea sijui kams nikawaida au ni tatizo la kiufundi naombeni udhauri...
bonyeza button ya home kwa nguvu kisha click task manager (alama ya kiduara cheupe) utapelekwa sehemu uya kuimanage simu. funga app usizotumia, clear ram na kufanya optimization nyengine.
hakikisha pia hutumii vpn na app nyengine ambazo permanent zipo on.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.