Naombeni ushauri tafadhali!

Naombeni ushauri tafadhali!

Siku zote tafuta balance kwenye kupenda...hakuna medali kwa shujaa wa kupenda ili hali anaumia(Hata Mungu hapendi ubwanyenye)

1.Jiamini

2.Jikubali

Ukipenda sana pia ni tatizo. Hizo ni dalili za yeye kutokukupenda "sana"...sasa na wewe punguza-mpende "kidogo" kwa style anayotaka...hivyo hivyo na ukigundua hakuna mapenzi, nawe una-cancel (au vice versa, punguza mapenzi yako kwake zaidi ya kwake kwako...ukiona hashtuki basi 'piga chini')
 
Nna boyfriend wangu nampenda sana tatzo ni kwamba siku hizi simuelewi kabisaa kwani amekua busy kupita kiasi inafikia kipindi wiki nzima yeye hanitafuti kwenye simu mpaka nimuanze mimi nikipiga simu hapokei badae akinipigia ananambia kitufe cha kupokelea kimeharibika na hivi sasa mwezi umepita sasa sijaonana nae.Nashindwa kumuelewa kama ni aje
Nilishakuambia huyo na Joyce huwezi kuwatenganisha, hebu tuimarishe penzi letu, kuanzia leo nakuomba usimuwaze kichwan mwako maana atakusababishia stress zisizo na maana
 
1. mnunulie simu mpya
2. mfuate nyumbani kwake...
ukifanya 1, akiendelea kutokupokea simu yako, mtumie vocha kabisa...
mwisho nione kwa ushauri zaidi....
 
jina lako ni zuri na la kipekee. nikirudi kwenye mada, mi naona huyo jamaa wala hakutaki tena na anajaribu kufanya njia zote ili awe mbali na wew ndo maana anatoa visababu vya kijinga na pia anakaa mda mrefu hata wiki nzima bila kukutafuta hewani. so na wewe mpotezee endelea na mishe mishe zako sabu sioni love hapo pole
 
Nna boyfriend wangu nampenda sana tatzo ni kwamba siku hizi simuelewi kabisaa kwani amekua busy kupita kiasi inafikia kipindi wiki nzima yeye hanitafuti kwenye simu mpaka nimuanze mimi nikipiga simu hapokei badae akinipigia ananambia kitufe cha kupokelea kimeharibika na hivi sasa mwezi umepita sasa sijaonana nae.Nashindwa kumuelewa kama ni aje

yuko bize na shule....nawewe komaa na shule.
 
Pole bidada lakini isije ikawa unaendana na avatar kwenye yale mambo yetu hence unamwacha anashughulika pekee yake so ameona asepe
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom