Huyo dada yako amelalamika kuhusu mahusiano yake na mumewe? Chunguza hili maana mapenzi hayana adabu unaweza kuingilia halafu baadaye wewe ndo ukaja kuonekana mbaya. Chunguza vizuri kwanza!
Nashindwa kufanya hivyo kwasababu hakuwahi kunishirikisha ila hayo malalamiko nayasikia kupitia kwa Baba na yeye hajawahi kunipigia simu toka kipindi hicho hata kwa kuniomba ushauri sasa nikiingilia si nitaulizwa nahusikaje hapo?Kwanini usiliingilie kati suala hili kwa kukaa kitako na hao watu wote(dada yako,mume wake,sheikh,baba na mama wa dada yako) kwa pamoja mlizungumze hili?Nadhani hapo mtapata suluhisho la kudumu kama ndoa ivunjwe kila mtu aende kivyake au vinginevyo.
Hayo matatizo alizungumza na Baba yake kama kumwambia tu kinachoendeleaHuyo dada yako amelalamika kuhusu mahusiano yake na mumewe? Chunguza hili maana mapenzi hayana adabu unaweza kuingilia halafu baadaye wewe ndo ukaja kuonekana mbaya. Chunguza vizuri kwanza!
Inawezekana dada yake karidhika na anaona sawa tu kuolewa na hata hao wanawake aliwajua kabla hajaolewa ndio maana hana tatizo sana na mumewe.Huyo dada yako amelalamika kuhusu mahusiano yake na mumewe? Chunguza hili maana mapenzi hayana adabu unaweza kuingilia halafu baadaye wewe ndo ukaja kuonekana mbaya. Chunguza vizuri kwanza!
Ungefungua mlango wa mawasiliano ungeweza kuelewa anahitaji msaada wa aina gani. Kama huna simu yake, muombe baba. Mpigie, muambie unahitaji kubond nae tena na kwamba unampenda. Kitu ninachoamini atafunguka kwako akuambie na utajua unamsaidiaje. Kwa matatizo ya ndoa, hata kumsikiliza tu ni tiba tosha. Ila usimuulize, muacje akuamini na kushare na wewe.
Familia ndo pa kukimbilia wakati umeharibu. Msamehe hata kabla hajarudi, msikilize, muonye na muonyeshe upendo. Hongera kwa kuthamini familia yako, mko wachache sana.
Ungefungua mlango wa mawasiliano ungeweza kuelewa anahitaji msaada wa aina gani. Kama huna simu yake, muombe baba. Mpigie, muambie unahitaji kubond nae tena na kwamba unampenda. Kitu ninachoamini atafunguka kwako akuambie na utajua unamsaidiaje. Kwa matatizo ya ndoa, hata kumsikiliza tu ni tiba tosha. Ila usimuulize, muacje akuamini na kushare na wewe.
Familia ndo pa kukimbilia wakati umeharibu. Msamehe hata kabla hajarudi, msikilize, muonye na muonyeshe upendo. Hongera kwa kuthamini familia yako, mko wachache sana.
Achana nae, wanawake saa zingine mpaka tuone na hivi tuko vijiweni wengi basi tutatolewa na mashetani. subiri akupe hizo habari mwenyewe, mpaka kumpigia baba yako nahisi nae alishiriki kwenye maamuzi hayo ya ndoa yake.
Kaa kimya mpaka akupigie simu yeye mwenyewe akwambie, vinginevyo mwache asikilizie utamu wa kujiuza kwa bei nafuu then atatia akili.
Inawezekana dada yake karidhika na anaona sawa tu kuolewa na hata hao wanawake aliwajua kabla hajaolewa ndio maana hana tatizo sana na mumewe.
pamoko sana. What is between the lines? Nnong'oneze bathiiI would also say the same despite the fact that i have learnt something in between!
Thanks for this bonge la ushauri!
ITEGAMATWI kule usukumani kuna msemo kwa wawindaji kwamba 'Lowugu lomo ndo, opuruka'. Umewahi muno kumshauri kuvunja nyumba, mama zetu najua ni wavumilivu sana ndo maana leo hii tunaona familia zao zinadumu. Mimi nafikiri ni swala la kuzungumza tu.Kwanini usiliingilie kati suala hili kwa kukaa kitako na hao watu wote(dada yako,mume wake,sheikh,baba na mama wa dada yako) kwa pamoja mlizungumze hili?Nadhani hapo mtapata suluhisho la kudumu kama ndoa ivunjwe kila mtu aende kivyake au vinginevyo.