Naombeni ushauri; Nimempenda mume wa mtu

Shosti ushaharibu(cha mtu m..i) yaan hata ukimuacha huyo utaishia kutembea na waume za watu,kupata wako utasotea sana. Acha kuumiza moyo wa mwanamke mwenzio,jamaa hakupendi anakutamani,akutumie kisha akuache.
 
Nina mtu nampenda sana. Na yeye amenihakikishia ananipenda lakini yeye ana mke na siku alonambia ananipend alinambia kuwa yeye ameoa
Sasa nifanye nn?? Naomben ushauri wenu
Kama unataka mapenz ya kwl mwache aendelee na mke wake ww utapata mwingne.. Mana sasa ntakua wawilii mtagombanaaa..!!
 
Nina mtu nampenda sana. Na yeye amenihakikishia ananipenda lakini yeye ana mke na siku alonambia ananipend alinambia kuwa yeye ameoa
Sasa nifanye nn?? Naomben ushauri wenu
Unataka tukushauri kwamba uharibu ndoa ya mwanamke mwenzio kisa umeshindwa kuzuia tamaa zako na nyege za mwili? Wanaume wote hawa duniani unataka uchukue mume wa mtu ili iweje? Tafuta wa kwako huyo mwanaume ni wa mwanamke mwenzio hujui ametoka naye wapi mpk akaamua kumuoa na kumuweka ndani ili ajenge naye familia.
 
Kuwa naye tu mle raha za ujana usiutese moyo wako, kazi ya moyo ni kusukuma damu tu na sio kuumiza, ila hakikisha unamchuna kisawasawa, huku ukitafuta wa kwako/mume, kwanza kwa umri wako muda wa kuolewa bado, kuwa wawili sio tatizo hata ukiolewa mtakuwa zaidi ya wawili, wanaume ndivyo walivyo hawatoshekagi
 
Nina mtu nampenda sana. Na yeye amenihakikishia ananipenda lakini yeye ana mke na siku alonambia ananipend alinambia kuwa yeye ameoa
Sasa nifanye nn?? Naomben ushauri wenu
Wewe ni mtu mzima,angalia sababu ya wewe kumpenda na mazingira ya yeye kukupenda ingawa ameoa. Kama mnataka kutumiana na kuachana ni maamuzi yenu na kama yeye amemchoka alienae na anataka kumove on,hayo ni maamuzi yenu.
 
Back
Top Bottom