Naombeni ushauri nimeadhirika na punyeto

Mmh mwaka wa 20 tomach kk [emoji2] [emoji3]
 
Huyu ajiandae zaidi kisaikolojia kua anaweza kuendelea, pia jenga mazingira kua ukianza tenda hata kama ndani ya dk moja ushakojoa wee endelea kukamua bila kuitoa kwenye papuchi, ukiweza kuicontrol ikarudi kwenye usmati wake hapo hesabu dk30 hadi lisaa bado unachapa tuu, lakini ukipumzika halafu ukirudi tena habari hua ileile.
Ukiamua kuifanya akili yako ikubali kwamba unaweza na utaweza kweli.
 
thanks
 
i've been in that chama called chaputa for 7years sijawah acha mda mrefu kama sasa nina wiki mbil na siku moja bt the day nimekutana na real papuch kwa vile nilizoea kule nilifanya wonders kwa raundi ya pil kudumu pale juu kwa lisaa na madakika huwa nikijifoc kufika mwisho huwa ni dk kama arobain hv au nusu saa nina perfomance nzur kwa kwel .......sa nashindwa kuelewa madhara yanakujaje bt navyojua punyeto inalegeza misuli uume unakuwa hauna nguvu ila ukiacha mda mrefu unarud maala pake trust me piga zoezi la kutosha kunywa maji mengi utarud maala pake mm nazan ndo nilikuwa naongoza kwenda bao nyingi kwa cku kwa kupiga punyeto kwa cku huwa ata bao tano
 


Mkuu nashukuru kwa kujito!!! Ila naomba sana utembelee thread " ATHARI ZA PUNYETO" katika habari mchanganyiko itakusaidia.
 
WANAJF TEMBELEENI THREAD YA " ATHARI ZA PUNYETO" katika habari mchanganyiko itakusaidia.
 
Kijana una matatizo mengine binafsi nyeto haileti matatizo kama hayo unayosema, kwanza kwa siku ulikua unapiga goli ngapi..?
Hahahahaha..katibu mkuu CHAPUTA taifa katika ubora wake..hahahah 'kwa siku alikuwa anapiga goli ngapi'
Yani apa umenifanya nicheke km mweu
 
Tatizo dogo, mtafute mshkaji anaitwa ustadhi yuko apa apa jf !! Mzee atarudi kama kawaida don't worry man
 
Upo Mkoa gani... Nna dawa ya kisambaa unachanganya kwenye chai.. Mke wako ataomba poo mbona😡😡😡😡
 
Kaka doz ck ngap
 
wee nyeto ulikuwa unapiga kwa style gani labda tuanze hapo. kama ulikuwa watumia mkono wa kulia kupiga nyeto basi hiyo itakuwa sababu
labda puli la bamia nackia tam kichiz[emoji81] [emoji81] [emoji81] [emoji81] [emoji81]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…