Hechinodemata
JF-Expert Member
- Sep 16, 2016
- 1,487
- 3,371
- Thread starter
-
- #21
Nikweli nimekua nikitumia mkono wa kulia, sijawahi kutumia mkono wa kushoto langu niijue punyetowee nyeto ulikuwa unapiga kwa style gani labda tuanze hapo. kama ulikuwa watumia mkono wa kulia kupiga nyeto basi hiyo itakuwa sababu
sure kakaUshauri mzuri ila hiyo point ya 'nyagi' ipotezee,kumbuka za kuambiwa...
thanksPole sana ndugu, ila sidhani kama kuna dawa yakutibu tatizo hilo zaidi ya wewe mwenyewe kutashauri nakuamua kuacha kabisa,
Zipo njia zakufuata ambazo zinaweza kukusaidia kuacha nazo ni:
Pendelea kujichanganya na watu,
Fanya mazoezi kwa sana
Kunywa maji mengi
Kula vyakula kama karanga nk
Mboga za majani usisahau katika mlo wako wa kila siku
Nikweli nimekua nikitumia mkono wa kulia, sijawahi kutumia mkono wa kushoto langu niijue punyeto
hahahahaha nimefika,Mkuu miaka10 unajikoa ,utapona kweli?Ngoja aje Katibu mkuu WA CHAPUTA taifa bwana Moto wa Maji kwa maelezo zaidi
naomba unieleweshe vizur mana cjakuelewa, lakn pia ni faida kwa wasiojuabasi jibu ndio hilo kaka...ukitumia mkono wa kulia lazima hayo yatokee kaka. hamna namna ishakula kwako.
Asante Mkuu kwa ushaur makiniMkuu pole sana. Sishauri na huwa siafiki matumizi ya madawa kwa ajili ya kuongeza nguvu au hamu ya tendo la ndoa.
Kuna baadhi ya vyakula hasa vya asili, mbogamboga, matunda na mbegu kama karanga, korosho, nk. Pendelea kutumia juice ya tende + maziwa fresh + asali mbichi.
Kwa ukweli nianza kupiga bao 1 kila siku, baadae ikawa kila siku napiga bao tatu, nakumbuka kuna wakati uume ulikua unauma lakn siwez kuachaKijana una matatizo mengine binafsi nyeto haileti matatizo kama hayo unayosema, kwanza kwa siku ulikua unapiga goli ngapi..?
Teh teh hivi konyagi inafanya kaz eeh??Pole sana kaka, kula vyakula vya asili vya kisukuma uone kama network itakata tena, mimi pia niliathirika na punyeto ila yangu ilikua more Advanced maana nilipiga bila sabuni wala kitu chcht ndo maana nacharaza magori ya kutosha tu, nimepractice tangu 2003 mpaka leo lkn nikikamata mke lazma aombe pooo...
Kula msos asili km
ugal dona,
mihogo mchemsho
Mbogamboga
Matunda
Shushia konyagi unapoingia kwenye ligi uone utakavyotiririka[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Ushaur mzur lakin nina mke ndani, miez mitatu bila kumgusa ndoa itaota mbawaPamoja na kula vizuri na kufanya mazoezi ya nguvu.
Kaa miezi 3 bila kufanya tendo la ndoa,huku ukizingatia MSOSI safi na mazoezi.
Utakuja kuleta mrejesho hapa.
Nasisitizia miezi mitatu no kupiga mti ,maana unaanza dozi yenyeuhakika Wa TIBA 99.99
Mi. Mwenyewe najiuliza hizo punyeto wanapigaje?? Nafikiri ni tatizo la kisaikolojia zaidi!!mhm...mie mbona nashindwa kuelewa kitu kuhusu punyeto....mbona mie napiga nyeto mwaka wa 20 sasa lakini nikiingia kwa game nikimaliza goli ndani ya dakika tano ngoma inasimama tena...nyie wezangu inakuwaje mwashindwa kurudia mpaka masaa yapite...au wee mke wako sio mzuri?
Mkaka miaka 10 unajifanya mwenyewe jamani, ulishindwa nini kutafuta hata dada poa, mbona wanawake tupo wengi tu, poleWapendwa JF nawasalimu,
Kwanza kabisa nishukuru waasisi wa JF na memba wote, naimani kubwa nitapata msaada humu kwa kua kabla ya kua member nimekua nikifuatilia makala na mada moto moto na baadhi zimetoa masuluhisho ya kudumu katika baadhi ya changamoto.
Nina umri wa miaka 35, naombeni msaada wenu kujua dawa ya kutibu mtu aliethirika na punyeto, uume wangu umelegea na hauwezi kufanya kazi kwa ufanisi, nikifanikiwa kufanya tendo la ndoa ni mara moja tu basi siwez kurudia tena mpaka baada ya masaa 10 yani kesho, ikumbukwe nimeoa na hii inanisumbua sana katika ndoa yangu, mke wangu amekua muelewa sana juu ya mimi kutomridhisha lakin anahisi mimi ninawanawake wengine, tatizo hili la kupiga punyeto nilidumu nalo kwa muda wa miaka 10 kabla ya kuacha kwa tabu sana na kuoa, naombeni usaada wenu juu ya vyakula au dawa za kurudisha uwezo wangu wa tendo la ndoa japo haitokua kama mwanzo.
Serekali mtaiuwa jamani ya Bukoba tu yamewashinda.. Mnataka muibebeshe na mzigo wa punyeto!! [emoji87] [emoji87] [emoji87]Inabidi sasa serikali itangaze hali ya hatari.
Kama tayari umeacha ni vizuri sana, ila kitu cha msingi fanya mazoezi,kula chakula kizuri na jiamini.
NB:Usijaribu kutumia dawa za kuongeza nguvu za kiume utaongeza tatizo.
Hayo ndiyo madhara ya ubinafsi.