Naombeni ushauri nifanyeje kwa sasa

Naombeni ushauri nifanyeje kwa sasa

makanza og

Member
Joined
Sep 30, 2018
Posts
9
Reaction score
1
Jaman wakuu mm Nina 3 yangu ya 25 japo so nzur lakn naona nilijitahidi nimeaplly certificate ya ualimu mpaka Mara mbili nakosa first & second sasa hvi second zimetoka simo tena nishaurini nifanyeje
 
Mwaka jana kuna dogo alikuwa na division three alikosa round zote akaamua kuachana na Ualimu.
Hivyo jaribu fani tofauti utapata sababu wanahitaji D nne tu.
Kwenye Ualimu wanapewa kipaumbele wenye one na two.
 
3 tena ya 25 nayo usiiangalie sana. Piga akili kidogo utafute 50k hivi uanzishe biashara ya kuuza dagaa wa mafuta. Waweza ona kuwa ni biashara ya kipuuzi ila utakapoiingia na kuwa siriasi nayo utaja niambia aksante. Mark ma words boy. Wewe endelea kupoteza muda na resources zako ukitafuta ualim. Pathetic man.
Ualimu hawaendi walio feli bali walioitwa. Kama ulitaka kuona chuo ulitakiwa ujiandae vizuri tangu form 5 sio baada ya kufeli.
 
Jaman wakuu mm Nina 3 yangu ya 25 japo so nzur lakn naona nilijitahidi nimeaplly certificate ya ualimu mpaka Mara mbili nakosa first & second sasa hvi second zimetoka simo tena nishaurini nifanyeje
Kwani wewe lengo lako ni kusoma ualimu pekee yake?
 
Kama uko Mwanza panda gari nenda mpaka Nyegezi Chuo cha uvuvi kaongee nao uende na vielelezo vyako uwaambie nia yako ya kutaka kusoma hiyo fani ada yao ni ya kawaida sana na chuo ni cha Serikali
 
3 tena ya 25 nayo usiiangalie sana. Piga akili kidogo utafute 50k hivi uanzishe biashara ya kuuza dagaa wa mafuta. Waweza ona kuwa ni biashara ya kipuuzi ila utakapoiingia na kuwa siriasi nayo utaja niambia aksante. Mark ma words boy. Wewe endelea kupoteza muda na resources zako ukitafuta ualim. Pathetic man.
Ualimu hawaendi walio feli bali walioitwa. Kama ulitaka kuona chuo ulitakiwa ujiandae vizuri tangu form 5 sio baada ya kufeli.
Boss dagaa wa mafuta ndio wakoje naomba ufafanuzi kidogo hapo?
 
Kwa alama hizo na kusoma UALIMU bado ziko sahihi kabisa isipokuwa vyuo vya gvt ni vichache kuliko wahitaji.

Lakini kwa private kupata asilimia 100 isipokuwa muda wa maombi nahis umeshaisha cha kufanya sasa saka mawasiliano vyuo vya private uwapigie direct utapata nafasi maana wale wapo kipesa zaidi.

na pia usiwaze ualimu tu kuna vyuo pia vingi vya fani tofauti vya kusomea.
 
Tuliza mind, utajua cha kufanya....pia kumbuka, sio wote wamesoma, so kutokusoma sio dhambi pia.
 
Back
Top Bottom