macho_mdiliko
Platinum Member
- Mar 10, 2008
- 22,555
- 41,500
Usicheke mkuu. Kama hayajakupata hutajua kama yapo...Umeona ehe.. Mimi alijificha kwenye kivuli cha wivu, hata wasichana wa kazi nilikuwa siruhusiwi kuzungumza nao. Na hakuwa amenikuta kwenye issue yoyote. Kumbe mshenzi hata nikisafiri kidogo alikuwa anaingiza watu ndani.