Naombeni ushauri, niendelee kufanya kazi au niache?

Umeona ehe.. Mimi alijificha kwenye kivuli cha wivu, hata wasichana wa kazi nilikuwa siruhusiwi kuzungumza nao. Na hakuwa amenikuta kwenye issue yoyote. Kumbe mshenzi hata nikisafiri kidogo alikuwa anaingiza watu ndani.
Usicheke mkuu. Kama hayajakupata hutajua kama yapo...
 
Wapendwa merry Christmas,

Jamani mimi naombeni ushauri maana Kuna jambo limenishinda kulifanyia maamuzi.

Mimi nimeolewa na nina watoto wawili, tumeishi na mume wangu kwa miaka kadhaa, Mme wangu ni mwajiriwa serikalini na mimi nilikua bado sijapata kazi, lakini miezi kadhaa iliyopita nilipata kazi katika kampuni binafsi japo kiukweli wanalipa mshahara kidogo sana.

Sasa nawaza kuacha kazi Ili nibaki tu kuendelea na majukumu ya nyumbani, mme wangu kaniambia niamue mwenyewe, lolote nitakalo amua yeye hana tatizo, ukweli Mme wangu sijawahi kupata tetesi zozote kuhusu kucheat, ni mtu anayejielewa na ni mcha Mungu.

Sababu za mimi kutaka kuacha kazi Moja ni kuwa kwasasa tunaishi mbalimbali, Cha pili kuna kamradi nilikua kakasimamia ila Sasa naona kanayumba coz aliyewekwa Kuna mda anafunga biashara na kwenda kwenye matembezi yake sababu ni kijana.

Jamani ushauri wangu naomba ni Je, ni sahihi kuacha kazi, pia kumbuka take home ya mshahara haizidi laki tatu.

Ahsanteni.
yaani hata hili unahitaji ushauri? kazi yenyewe ni kwenye private company? kwani wewe hupimi mizani wapi kuna faida zaidi kati ya kujiajiri ili upate muda wa kuhudumia familia huku ukifanya biashara/mradi wako na kuajiriwa mradi ufe na familia isambaratike au watoto wasipate malezi bora? ki mapato wapi unapata faida zaidi?

kuna kitu watu hawaelewi, na hicho ndio wahindi na wazungu wametuzidi sana. kuajiriwa sio solution ya kutoka, kama unayo opportunity ya kujiajiri it is better of kuliko kuajiriwa kwasababu ukijiajiri unayo nafasi ya kuexcell zaidi na kuimarisha mradi wa familia badala ya kuimarisha kampuni ya wenzako. binafsi wife aliamua kujiajiri na matokeo yake watoto wamepata malezi bora sana familia yangu ni nzuri sana, watoto wetu wote hatujapelekaga bording school kwasababu muda mwingi tunaaccess nao na mama anaenda kazini bila kushurutishwa na ratiba za mwajiri, yeye ndio mwajiri anayejiongoza mwenyewe na anapata kipato kikubwa kuliko kile ambacho angekipata akiajiriwa.

kingine, kati ya ndoa 10 za wanawake, hata kama walikuwa hawacheat, 8 huwa wanabadilika tabia baada ya kuajiriwa. hii ni kwasababu kule kazini wanaspend muda mwingi na wanaume wengine kuliko mume au watu wa familia and it is easy to cheat. na kati ya familia 10 za wanawake waajiriwa, unaweza kuona ni 5 tu zenye ndoa zenye furaha na ambazo watoto wame close guidance. familia nyingi huwa zinasambaratika kwa mtindo huu. ingekuwa serikalini, ningesema labda, kwasababu ni ajira ya kudumu huwezi jua mbeleni kitatokea nini, ila hizi kampuni ambazo leo zipo kesho zinakufa na unapigwa chini, jitafakari kwanza na uchague kilichobora kwako, kwa watoto wako na kwa mume wako.
 
Majibu tayari unayo kama umetambua usimamizi wa hiyo biashara yako ni mbovu why usiingilie kati uisimamie mwenyewe huyo mtu uliyemuweka kuisimamia ni mpumbavu tena mfikishie ujumbe mwambie nimemwambia yeye ni mpumbavu
 
Napata point za msingi kabisa humu za mm kuacha kazi, ahsanten sana, maana nilikua najiona labda ntakua nakosea kuacha kazi
yaani kama wewe hauna akili ya kupata jibu la kufanya kwenye hili bila kuuliza, basi mumeo ameoa nung'ayembe. unaweza hata kutunza familia kweli wewe kama unashindwa mtihani mdogo kama huu? umri wako ni upi?
 
yaani kama wewe hauna akili ya kupata jibu la kufanya kwenye hili bila kuuliza, basi mumeo ameoa nung'ayembe. unaweza hata kutunza familia kweli wewe kama unashindwa mtihani mdogo kama huu? umri wako ni upi?
Nashukuru Kwa mawazo yako
 
Kukaa mbali na ndoa ni hatari labda kama kazi ina maslahi mazuri ila Kwa hio ya laki tatu tena ya binafsi na ina mkataba wakueleweka?Bora ndoa utakaa mwaka hakuna ulicho vuna Bora ukae na mmeo na ss wanaume tunajijua usiseme hacheat anafanya Kwa heshima ila ukikaa muda mrefu mbali ndo utajua hujui.
 
Wazazi wamesema tushauriane na mume wangu,. Mme wangu amesema niamue mm yy hana ttz nitakaloamua nisawa, Sasa ningumu kuamua peke yangu, kiukweli inaniwia ugumu, coz kuna mda analalamika kua nyumba ni mwanamke na bila mm hajakamilika
Mpaka hapo mme wako anataka aishi pamoja na wewe, ila hataki kukulazimisha, anatamani uamue wewe mwenyewe bila ya kuwa na dalili ya kushinikizwa.
Kama mzoefu wa ndoa za kuishi mbalimbali kwa sababu za kikazi, nakushauri rudi kwa mme wako haraka sana, cha msingi mjadili namna ya kuboresha ile biashara yenu ili return yako iwe kubwa zaidi.

Narudia tena, rudi kwa mme wako!
 
Mpaka hapo mme wako anataka aishi pamoja na wewe, ila hataki kukulazimisha, anatamani uamue wewe mwenyewe bila kiwa na dalili ya kushinikizwa.
Kama mzoefu wa ndoa za kuishi mbalimbali kwa sababu za kikazi, nakushauri rudi kwa mme wako haraka sana, cha msingi mjadili namna ya kuboresha ile biashara yenu ili return yako iwe kubwa zaidi.

Narudia tena, rudi kwa mme wako!
Nashukuru sana Kwa ushauri
 
Ahsante Sana Wana nzengo Kwa ushauri wenu na response yenu, Mungu awabariki, hakika ushauri nitaufanyia kazi
 
Kwa case yako hiyo hapo naona possibility ni
1-Nafsi inakusuta kwamba huitendei haki ndoa yako kwa kuwa mbali na mmeo

2-Wivu kwakua mbali na mmeo

3-Unahisi huna haja yakuangaika kufanya kazi uko private ukizingatia una huo mwenyew unauita mradi

4-Miluzi ya mmeo ya kukuambia urudi nyumbani Kila siku imeanza kukupoteza

Nilitegema

Uendelee kufanya kazi uko private, umtafute mtu makini asimamie mradi wako

Ushauri

Kama huo mradi unakupa hela ya kueleweka rudi kausimamie, rudi kaishi na mmeo.

Wsiwasi wangu.

Sikuhizi wanaume tumekuwa wa ajabu sana lolote linaweza tokea hivo naonaga ni vizur mwanamke kujiweza yeye kama yeye

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna ukweli hapa
 
Nakushauri endelea kufanya kazi japokuwa inakupa hela kidogo. Pili tafuta kijana mwingine akusaidie na mradi kijana si mmoja tu Tanzania nzima.

Kwa sababu kuna wanawake wengi wanatamani wawe na kazi ili wawe na hela ya matumizi ya familia na wao wenyewe. Mimi nakuona umebarikiwa kuwa na kazi.
Mwisho unajua kazi ndio inasababisha wewe na mmeo kukaa mbali na kuna wanandoa wanamiaka mikubwa wameishi kila mtu mkoa wake na wanapata muda kidogo angalau wa kuwa pamoja. sisemi ni kazi rahisi but inawezekana mkitafuta namna ya kuweka moto zaidi kwenye ndoa yenu.
 
Vipi kwani papuchi haikuingizii lolote mpaka umri huo wa kuwa na mwanaume wa kukukojoza permanently
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom