Naombeni ushauri napata trauma

Naombeni ushauri napata trauma

Ndugu zangu hapa nilipo sielewi napitia kipindi kigumu sana.

Ipo hivi...

Mimi ni mtu niliye sensitive sana mtu anapoonewa au kuona mtu anadhurumiwa haki yake hii kitu inaniumizaga sana.

Najikuta nakuwa off mood sana na ninadhoofika kila siku kiakili, kihisia na ki mwili pia.

KIfupi mpka hapa nishaumizwa na hii hali kwa nyakati nyingi tofauti tofauti na ishatokea kutoa machozi mara nyingi sana.

Mara ya mwisho kutoa machozi ni leo baada ya kuona picha ya nyumbani na damu kwa huyu kada wa CHADEMA Nyagali. Mimi siyo mwana harakati wala siyo mwana siasa lakini hii hali inanitesa sana, siyo kwa mdude tu hata kwa watu wengine hii hali inanitesa sana sana sana.

Hii hali inaninyima hamu ya kufanya kazi na hamuwez amini leo nimeshindwa kutimia majukumu yangu kikamilifu.

Nawaza huyu kijana kadhurumiwa haki yake ya kuishi na ni hasara kwa familia yake na ukifikiria kwa undani zaidi hiki kitu kimefanywa ili kulinda maslahinya watu wachache na siyo Taifa.

NImalizie Kwa kusema sisi sote ni wa mavumbini tutarudi wakati ukifika, mdude kauwawa lakini waliomuuwa nao watazikwa nao na watakufa wakiwa na maumivu makubwa yanayotokana na guilty na kujutia kwa wanayoyafanya muda huu.

Aminini nawaambia wanayoyafanya haya hawafanyi kwa maslahi ya Taifa bali ni kwa maslahi ya kikundi cha watu wachache na watajutia kwa haya wayafanyayo.
Wewe ni mtu mwema na mpenda haki. Usikate tamaa, endelea kumuomba Mungu. ipo siku atatuliza haja ya moyo wako.
 
Jufunze kwangu.
Mauaji ya Gaza yalipoanza mwaka jana niliumua sanaa, ila nikawaza Gaza are 2mil, je wanaweza UA wote? Nikasema hapana, so far 60k plus washakufa, naamini after years Hamas zitazaliwa zingine nyingi. Na kisasi kitalipwa tu.
 
Nitaendelea kuwalaumu walioasisi siasa zetu kuwa hivinzilivyo!

Tungepokezana vijiti tangu mwanzoni mwa vyama vingi Hali isingekua hivi ilivyo!!
Hakuna namna nyingine zaidi ya kushuhudia haya mambo yalivyo!

The state mna wajibu juu ya taifa mnatuumiza sana mnavyochelewa kisa mamlaka ya kikatiba iliyopo!!
 
Huna kazi ya kufanya wewe unahangaika na wajinga wasiojielewa hivi wewe mtu na akili zako timamu tanzania ni pakufanya uhanaharakati uchwara mdude ni mjinga sana ameacha familia yake inateseka kisa ujinga shenzi kabisa
🤔🙄🙄
 
Pole mkuu,kama unaendesha gari ukiona askari police yoyote anakatiza mbele mgonge umuue,hii itasaidi kuponya hiyo hali. Hata mimi ile video ya mkewe Mdude imenitoa machozi,polisi yoyote atakayeingia kwenye 18 zangu sitamuacha.
🙄🙄🙄
 
Cha kufikirisha na cha ajabu ni kuwa mdanganyika anamuua mwenzie kwa kutumwa na mzanzibar hii ni kali

Ndio hapo na mi nachoka akili.

Nyerere alituumiza sana na huu Muungano wake. Nadhani angekuwepo angeufuta haki ya nani.

Mgeni anakuja anakwambia mchinje Mtanganyika mwenzio na we unakubali?

Nilikuwa naangalia clips zilizosambaa za Balozi wa Zanzibar aliyefarakana na mkewe. Wanasema wana ma eka ya mashamba na ma viwanja Morogoro, Tanga, Dar es salaam. We Mtanganyika kusogelea kiwanja Zanzibar marfuku! By law of Zanzibar!

Aiseeee....nikamwona Nyerere nae alikuwa mlevi sana. Kupenda penda sifa kulifanya akatuuza kizembe namna hii kama chifu Mangungo. Tuna suffer na Uzanzibar mpaka leo.
 
Hakuna mwanaharakati yyt Duniani anaishi maisha pasi na misukosuko. Ukipingana na serikali jiandae kwa maumivu. Alishauriwa sana Alfonse Mawazo aachane na habari za siasa akakataa matokeo yake wakamuua kikatili kiasi cha kutovumilika. Familia yake inataabika vibaya sana kwa kumpoteza nguzo kuu yao.

Siasa (hasa za upinzani ) ni njia ngumu mno ya utafutaji.

Wanasiasa na shetani ni ndugu.
 
Back
Top Bottom