Mkomavu
JF-Expert Member
- Jan 25, 2016
- 11,753
- 16,747
Hutafurahia ushaur wng utanichukiaMKuu nahitaji ushauri wako.....
Hutafurahia ushaur wng utanichukiaMKuu nahitaji ushauri wako.....
sina zaidi ya pesa na simu niliyomnunulia kipindi akiwa first year thou kwa sasa hana tena maana anamiliki Iphone 6s+ sijui pesa katoa wapi maana sikumnunulia.....Ama kweli wajinga ndo waliwao.....labda tu kwakuokoa jahazi,kama kuna vitu tangiable umewahi kumnunulia panga ziara ya kushtukiza,ukavichukue vyote,yani vyote! na ukate mawasiliano
Hapo umejiroga wewe mwenyewe kwa mtizamo wangu chukua demu mwingine piga mashine kama haujamsahau huyo sio mimisawa nimekuelewa boss nifanyeje ili niweze kumwacha maana nimejaribu kutoka nimeshindwa mpaka nahisi kanifanyia kitu ambacho si cha kawaida mkuu
ndio nimeanza kustisha hapo juzi alipotaka pesa nimemtolea nje...Inaonekana anamtu mwingine, jaribu kusitisha misaada kwake kwa 90% .
ahsante bossSina ushauri zaidi ya kukupa POLE. POLE SANA MDOGO WANGU
Kuna jamaa angu yalomkuta ni kama yako. Ye kaamua kupiga chini na kuanza maisha mapya bila huyo alompenda. Kila mara ananihasa kuwa nisije wekeza kwenye mapenziAhsante kwa ushauri boss.... nitafanya hivyo
Be a man mkuu kuwa na maamuzi kukupenda kusikufanye uwe mpumbavu NYW kama umegundua Kala pesa zako nyingi badilisha mfumo huo wa awali ,alafu mbandue atapata uhakika kama ww ni mwanaume maana labda Hana uhakika,, tofauti na hapo ww utalea wenzako watabundua kiulaniMkuu na miaka 30 na yote nafanya kwa sababu ya upendo nampenda sana huyu binti... ndio maana nimekuja mbele yenu kuomba ushauri ni kwa jinsi gani naeza mwacha bila mimi kuumia thou kala pesa yangu ndefu sana ....
Hapana mkuu ni upendo ndio umesababisha haya yote kuanzia leo nitaakuwa mwangalifu sana katika suala zima la mapenziUnadhalilisha wanaume wenzako we po-y-oyo
We sijui ulikulia ndani ya banda la kuku?
Utakua unataniaHapana mkuu ni upendo ndio umesababisha haya yote kuanzia leo nitaakuwa mwangalifu sana katika suala zima la mapenzi
nashukuru kwa ushauri mkuu... nitafanya hivyo thou naumia sana kwa muda niliopeteza kwake pesa ni makaratasi nishasamehe....jizoeshe kumuacha hakufai hakupendi na hakutaki dawa ni moja fumba macho na hizi hisia zako kwake zifutike, pole sana mkuu
nashukuru kwa ushauri wako mkuu.... nimeamua kumfutilia mbali kwa muda sasaHauwezi kuwa mwanaume wewe!mvulana km wewe mnatakiwa kwenda kuishi katika sayari yenu!uyo ni jini mfilisi!hakutakii mema!
Nakukumbusha tu kuna siku uliponda sana ke zisizokuwa na bikira na wasioolewa na bikira umeona ulichokutananacho? Muwe mnaweka akiba ya maneno ona sasa yanayokukutanashukuru kwa ushauri mkuu... nitafanya hivyo thou naumia sana kwa muda niliopeteza kwake pesa ni makaratasi nishasamehe....
Kata mawasiliano mzee...acha kucheza ngoma yake,kashakuona boya either kimakusudi au utoto unamsumbuasina zaidi ya pesa na simu niliyomnunulia kipindi akiwa first year thou kwa sasa hana tena maana anamiliki Iphone 6s+ sijui pesa katoa wapi maana sikumnunulia.....
Zaidi kilichonistua ni kutaga gari hapo akili yangu kidogo ndio ikaanza kunicheza kidogo mkuu.......