Naombeni ushauri nahisi nilijidanganya kwa huyu Binti

Ama kweli wajinga ndo waliwao.....labda tu kwakuokoa jahazi,kama kuna vitu tangiable umewahi kumnunulia panga ziara ya kushtukiza,ukavichukue vyote,yani vyote! na ukate mawasiliano
sina zaidi ya pesa na simu niliyomnunulia kipindi akiwa first year thou kwa sasa hana tena maana anamiliki Iphone 6s+ sijui pesa katoa wapi maana sikumnunulia.....

Zaidi kilichonistua ni kutaga gari hapo akili yangu kidogo ndio ikaanza kunicheza kidogo mkuu.......
 
Mkuu na miaka 30 na yote nafanya kwa sababu ya upendo nampenda sana huyu binti... ndio maana nimekuja mbele yenu kuomba ushauri ni kwa jinsi gani naeza mwacha bila mimi kuumia thou kala pesa yangu ndefu sana ....
Be a man mkuu kuwa na maamuzi kukupenda kusikufanye uwe mpumbavu NYW kama umegundua Kala pesa zako nyingi badilisha mfumo huo wa awali ,alafu mbandue atapata uhakika kama ww ni mwanaume maana labda Hana uhakika,, tofauti na hapo ww utalea wenzako watabundua kiulani
 
c334e41cf6079fba50626f912acb72db.jpg
 
nasemaga siku zoote laiti [HASHTAG]#mbitiyaza[/HASHTAG] mie ningekuwa mwanaume ukweli toka moyoni nisingekuwa nadanganyika namna hii ! hivi nyie wanaume mBona mnadanganyika kiwepesi namna hii !mhh mayb kizaz hiki cha 4G ! jaman mwanamke bikira hawez andika sentensi kama hizo !hata km mie ni wa zaman jaman lakini hapo hakuna cha bikra wala nn !jaman hivi hizo bikra heheheh !uwiiii !

kwao wanajiweza namna hyo au? khaa aisee wala sina cha kushauri !
 
jizoeshe kumuacha hakufai hakupendi na hakutaki dawa ni moja fumba macho na hizi hisia zako kwake zifutike, pole sana mkuu
nashukuru kwa ushauri mkuu... nitafanya hivyo thou naumia sana kwa muda niliopeteza kwake pesa ni makaratasi nishasamehe....
 
Hauwezi kuwa mwanaume wewe!mvulana km wewe mnatakiwa kwenda kuishi katika sayari yenu!uyo ni jini mfilisi!hakutakii mema!
nashukuru kwa ushauri wako mkuu.... nimeamua kumfutilia mbali kwa muda sasa
 
nashukuru kwa ushauri mkuu... nitafanya hivyo thou naumia sana kwa muda niliopeteza kwake pesa ni makaratasi nishasamehe....
Nakukumbusha tu kuna siku uliponda sana ke zisizokuwa na bikira na wasioolewa na bikira umeona ulichokutananacho? Muwe mnaweka akiba ya maneno ona sasa yanayokukuta
Jitahidi umsahau best yangu jitahidi sana naelewa mateso uliyomo pole sana
 
sina zaidi ya pesa na simu niliyomnunulia kipindi akiwa first year thou kwa sasa hana tena maana anamiliki Iphone 6s+ sijui pesa katoa wapi maana sikumnunulia.....

Zaidi kilichonistua ni kutaga gari hapo akili yangu kidogo ndio ikaanza kunicheza kidogo mkuu.......
Kata mawasiliano mzee...acha kucheza ngoma yake,kashakuona boya either kimakusudi au utoto unamsumbua
 
Back
Top Bottom