Naombeni ushauri nahisi nilijidanganya kwa huyu Binti

Pole sana mdogo wangu. Naelewa mapito unayopitia kwa sasa japokuwa mazingira yake ndo wanaume wengi tunashangaa

Watoto wa kike wana tabia moja mbaya sana wakiwa chuo, yaani awe mke wa mtu, rafiki yako au hata ndugu yako, wanapenda sana kushindana kimaisha na kula good time hasa hasa wale ambao hawaijui dar vizuri, yaani waliotoka nje ya dar.

Kuna kipindi watoto wa kike wengi walikuwa wanapelelekwa bagamoyo, zanzibar, kivukoni na sehemu nyingine nyingi tu kwa ajili ya starehe ilimradi kama kuna hela, sasa kwa mazingira ya hayo, ule ushamba uje utoke, na kama ndo anasimuliwa na wenzake kuhusu mabwana zao, na sometimes kuambiwa na yeye atoke ili atoe kampani, hapo ndo mwanzo wa watoto wa kike kuharibika isitoshe tena kwa kipindi kile cha jk, fedha zilikuwa nje nje, hasa hasa kwa wafanyabiashara na watu wa TRA wamefanikiwa sana kuharibu watoto wetu. Afadhali ya sasa kidogo kwa kiasi kikubwa good time zimepungua sana.

Pia kama na yeye anapenda kujirusha ndo usipime, hebu jaribu kukumbuka iwapo Fiesta za dar zikikaribia ndo unaombwa hela ndefu. Au wasanii wakubwa wakubwa wakikaribia kuja au kuwa na Fiesta ndo unaombwa hela nyingi.

Kwa kifupi, kitendo cha kudanganywa kuwa serikali inampa 20% hela ya chuo na pia kumbe ni 60%. Kukuomba hela nyingi namna hyo wakati kwao huenda hawajui na hvyo wanampa hela na wewe pia, na suala la gari kulifanya ndo sehemu ya kuachana na wewe, kiukweli umefanywa kuwa wewe ni mgodi unaotembea.

Kwa sisi tuliesoma chuo, kuendesha gari la kifahari, kukaa nalo, matunzo yake, na mafuta na vipuli, wapo baadhi ya watu waliokuwa na vyeo ofcn lakini waliacha kutumia magari kuogopea gharama maana UDSM usafiri ni bwelele Muda wote, na pia usafiri wao mkubwa ni bajaji na wala sio bei kivile hadi mtu awe na gari.

Pia mkuu, suala la demu kuwa bikira na kutoka nayo UDSM salama sina imani nalo Hilo kwa 99%. Na hata km kaitoa matiti yake hayawez kuwa kandambili. Nijuavyo mimi, demu bikira si huyo mpenda hela hvyo, wengi wao ni watu wa aibu sana.

Sijajua kama unafanya haya yote kwao wanajua maana unatwanga maji kwenye kitu. Sidhani km mwanaume yoyote tofauti na wewe utoe hela zote huku unanyimwa mambo yetu, kwa miaka yote hyo, sasa huo upendo unatokea wapi? Wataalam wa afya wanasema kuwa kukua kwa mapenzi ni pamoja na kula mambo yetu na kupooza kwa mapenzi ni pamoja na kukosa hy ishu. That's why wataalam wanasema kuwa mahusiano ya mbali huvunjika haraka sana kutokn na kukaa mbali kwa wapendanao. Sijui wewe upendo wa dhati huu uko vp?

Nafikr acha kutudhalilisha sisi wanaume, wengine wameshakutukana vya kutosha, potezea kuhusu hela, pia hyo hela ungewekeza kwenye fixed account au kwenye vipande au hata hapa hapa dar kununua kiwanja kikubwa, Leo hii huenda kikawa kimepanda thamani kwa 25% ya gharama uliotoa. Huenda kwenu hujawahi toa hii hela kwa ndugu zako, mama yako wala baba. Hawa ndo walikufanya ufikie hapo, upate maendeleo yako.

Kwa sasa usigeuke nyuma, mwanamke mzuri ni tabia na mpenda pesa pia ni tabia, siku umeishiwa na yeye anasepa, hayo ni mapenz ya upande mmoja na upande mwingine hakuna mapenzi. Mapenzi ni kusaidiana katika shida na raha, kupendana, na pia kujaliana. Mwanamke anapimwa pale unapojifanya huna hela au kitu, uone roho yake inaumiaje, anakupendaje, anakusaidiaje, hata kwa mawazo, na si kwa machukizo.

Kwa gazeti hili nililoliandika, kama hujaelewa basi shetani akusaidie. Pia km una hela, tafuta kiwanja ujenge, kwa fedha uliotumia, uliza mafundi, kama ungekuwa unajenga, basi chumba na sebule na finishing yote ya nyumba, labda kwa dar ni gharama itaongezeka kidogo. Ila kama ni maduka, nadhani hata 4 na ungekuwa unakula kodi hata kama ni 30 elf kwa mwezi mara 4 mara 12. Wewe unawekeza kwenye K?. TAFUTA MTOTO WA KIKE MZURI NA MWENYE FOCUS, UTAPATA MAENDELEO. HUYO AMBAE HATA K YAKE HUIPATI? POLE SANA
Mkuu nimesoma andiko lako hili..nimejikuta kutokwa machozi. Nilizani sisi wanaume ndiyo tunashida aisee. Nimemuhurumia jamaa Sana.
 
Back
Top Bottom