Naombeni ushauri mzuri

Naombeni ushauri mzuri

Hekima bora

Member
Joined
Jun 20, 2014
Posts
7
Reaction score
2
Nina rafiki ameolewa na ana mtoto mmoja. Tatizo ni anamfumania mme kila mara, ijumaa mme kaenda kazini karudi jumamosi .

Mke anataka kuondoka.

Nimshaurije?
 
jamani avumilie ndio shida hizo raha inakuja, awe bize na mambo yake, inakuaje anatengeneza mazingira ya kumfumania , mwambie upepo tu unapita with time atarudi
 
huyo rafiki yako naye ajichunguze wapi haridhishi katika ndoa yake kwa maana kuna sababu za mtu kuchepuka ktk ndoa kama tabia yake haikuwa hivyo sio kuondoka tu bila kujua sababu iko wapi, ila km ni tabia ya mumewe bila sababu hata mimi ningemshauri AONDOKE sababu ya kujihadhari na kujiepushia magonjwa yatakayokuja sababu ya ngono nzembe ya mtu mwiingine
 
mme anasahau kufuta conversation kwny cm. so anapofuatilia anawabamba.
 
Atafute mjamaa ammege mume akiondoka na yeye atoke.
Ya nini stress maisha yenyewe mafupi haya.
Dawa ya mwanaumw mwanaume mwenzake.
 
Atafute mjamaa ammege mume akiondoka na yeye atoke.
Ya nini stress maisha yenyewe mafupi haya.
Dawa ya mwanaumw mwanaume mwenzake.

we umeolewa nimzidi mautundu?
 
Aondoke aende wapi?kwani yeye anafikiria nini?
Kwa nini mwanaume anadiriki kulala nje?
Uhusiano wao toka mwanzo ulikuwaje?
Mwanaume analizungumziaje hilo
?
Mara ngapi wameketi meza moja na kuzungumza?
Mwambie apunguze kua selfish acha itumike tu haiishi.
 
Kama walipendana kwa shida na raha mwenzie akila raha naye akipata shida ndio maisha avumilie tu siku zisonge!
 
Mwanamke afanye uamuzi mgumu tu kieleweke!
 
Ney wa mitego kwenye wimbo alioshirikishwa na msanii Neiba wa "Huyo sio demu" kuna kipande anasema hivi, "...kudadadeki mapenzi hayashauriki..."


Kaa pembeni uwaombee tu, uamuzi wa kubaki na kuondoka ni wake peke yake!!!!
 
Nina rafiki ameolewa na ana mtoto mmoja. Tatizo ni anamfumania mme kila mara, ijumaa mme kaenda kazini karudi jumamosi .

Mke anataka kuondoka.

Nimshaurije?
ni wewe ndo umemfumania mumeo mkuu pole sana maana dushelele ni tamu sana inauma ukiona kuna mwenzio anashare dushele we mm ntaua mtu haa
 
Back
Top Bottom