Naombeni ushauri mzuri

Naombeni ushauri mzuri

Nina rafiki ameolewa na ana mtoto mmoja. Tatizo ni anamfumania mme kila mara, ijumaa mme kaenda kazini karudi jumamosi .

Mke anataka kuondoka.

Nimshaurije?

Bwamdogo sijui bibi kizee your user name.Wewe kila kitu kina muda wake sasa achane nae wapo wengi atakufa na naukimwi
 
kitamu kula na nduguyo ila ucjue maana inauma sana but mapenzi hayashauriki maana hatujui utamu wao wakiwa kitandani
 
Mwambie aache kutengeneza mazingira ya kumfumania Mumewe hiyo ni tabia mbaya sana haifai katu hata simu yake asiguse atakufa na BP
 
Back
Top Bottom