ANTHONY MICHAEL
Member
- Aug 27, 2013
- 26
- 11
Nakuja kukufata jiandae.mfate kwao [emoji23]
Bado unahasira za saloon?[emoji2][emoji2][emoji2]TCRA wao wanasemaje kwani
nipo tayari 😂😂😂nakusubiriNakuja kukufata jiandae.
🤣🤣🤣🤣🤣hasira zitaisha mpka huyu manzi atakapopigwa chini na jamaaBado unahasira za saloon?[emoji2][emoji2][emoji2]
KabisaAkiwa anakupenda atatafuta kila njia muwasiliane.
Hayo yalinikutaga kwa Joan. Sitasahau alinisumbua sana. But now niko fresh. Nilionana naye last week Mlimani city akanambia ni utoto ndio ulikuwa unamsumbua.