Naombeni ushauri kwa yaliyonikuta

Izzo G

JF-Expert Member
Joined
Aug 14, 2012
Posts
414
Reaction score
62
Wadau nipo hospitali mwanamke niliyetegemea awe mke wangu nilienda kazini jana saa saba mchana narudi namkuta yupo na chupa za bia kanikasirikia.

Jion bila kuaga akaondoka, akarudishwa na men saa nane namuuliza kanipiga chupa ya bia kichwani.
 
mmhhh,,! Embu lete habari kamili.
 
wadau nipo hospitali mwanamke niliyetegemea awe mke wangu naenda kazin jana saa saba mchana narudi namkuta yupo na chupa za bia kanikasirikia jion bila kuaga anaondoka anarudishwa na men saa nane namuuliza kanipiga chupa ya bia kichwan

Na wewe umekubali kirahisi rahisi hivyooo....Dah mi ningemnyukaaaa...Bisu la kichwaa
 
...nadhani hiyo chupa imeingiza pombe kwenye ubongo.ngoja ipungue kwanza kisha uje upya...
 
Poleeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
khaaaa
dunia ina madikodikooo
sasa nani anakuuguza?
 
Uko hospitali gani na wodi namba ngapi nikuletee matunda..
 
Pole sana, mchunguze marafiki zake sio wazuri ndo chanzo cha haya.
 
Wadau nipo hospitali mwanamke niliyetegemea awe mke wangu nilienda kazini jana saa saba mchana narudi namkuta yupo na chupa za bia kanikasirikia.

Jion bila kuaga akaondoka, akarudishwa na men saa nane namuuliza kanipiga chupa ya bia kichwani.

na bado huo mwanzo tu uhondo kamili unakuja
 
Tuma picha tuone kama kweli umeumia kisha tukushaur
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…