Fumbafu weweitakuwa kwasababu unamchanganyia 'z' na 'dh' au 'r' na 'l' basi anaona utakuwa unamchanganyia wanawake hata ukimuoa.
Na kwasababu huwezi kuruka paragraph basi utakuwa huwezi kuruka binti mzuri bila kusimamisha.
Tena ubaya anaona hata akuelekezeje huwezi koma maana hata hauna koma kwenye maandishi yako.
Ila walimwenguitakuwa kwasababu unamchanganyia 'z' na 'dh' au 'r' na 'l' basi anaona utakuwa unamchanganyia wanawake hata ukimuoa.
Na kwasababu huwezi kuruka paragraph basi utakuwa huwezi kuruka binti mzuri bila kusimamisha.
Tena ubaya anaona hata akuelekezeje huwezi koma maana hata hauna koma kwenye maandishi yako.
Nina malengo naye mkuu ila suala la kuokoka kwangu ni mtihani sana. Na kuna siku nilimgusia hivyo what if nikaokoka? ,yeye akaniambia kabla ya yote niende kwa mchungaji nikapate ushauri wa kiroho nisije nikaokoka kwa ajili ya kumfuata yeye niokoke kwa ajili ya Mungu kwanza ,nia ya kuwa nae ije baadae.Binti yupo simple na nimeshakaribishwa mara kadhaa kwake kwa chakula ila inapokuja ishu ya mahusiano ni mtihani mkubwa.Kama hataki kuzungumzia suala la mahusiano huenda yy hayupo tayar kuwa na mahusiano kw xx au labd anaona hamuwezi kuwa wote kutokana sababu mbalimbali kama dini na kadhalika.. ni ngumu mtu kuacha dini yake kwenda nyingine hasa kwa huyo mlokole.. ni wachache xana... We kama upo serious kwamba unahitaji kumuoa basi mzungumze ni makubaliano yenu wawili ila kama utahitaji kumchezea tu ni bora umuache maan c vzur uingie ktk mahusiano na mtu wakat huna mpango/malengo naye.
Good onenkutananae - nakutana naye
mala kazaa - mara kadhaa
taklibani - takriban
kuongeanae - kuongea naye
Mala ya mwisho - mara ya mwisho.
Pia jifunze matumizi sahihi ya koma, vituo na aya
Kama tabia yake ni nzuri na unaona anafaa kuwa mke na wewe okoka tu uwe mlokole umuoe muishi kwa amani katika ndoa takatifu na maisha ya wokovu. Ndoa yenu na maisha yenu yatabarikiwa sana.
Kama nia yako ni kumla tu halafu usepe achana naye na ridhika tu na huo urafiki wa kawaida. Usikubali kujibebesha dhambi ya kutumiwa na shetani ili kumwondoa mtu aliyesimama katika wokovu wake na kumkwaza. Madhara yake ni makubwa sana.
Mungu Akupe busara katika hili kamanda